Recent content by Mahamud_2000

  1. Mahamud_2000

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM iliwaacha wagombea bora ikatuletea Magufuli?

    Daah nimecheka hadi bia imenipalia,,huu ni mgongano tuu wa hoja, Quinine mjibu huyo kwa hoja halafu tuendelee [emoji16][emoji16]
  2. Mahamud_2000

    JamiiForums Tanzania Serikali yanunua vichwa vya treni vilivyokwama bandarini

    Mwenye vichwa si ametajwa kwenye uzi kuwa ni PRL au macho yenu makengeza??
  3. Mahamud_2000

    JamiiForums Tanzania Toyota voltz inauzwa T685 DJQ

    Nakupa 11 boss
  4. Mahamud_2000

    JamiiForums Tanzania Toner cartridge and inkjet refills 60% discount

    Watanzania wengi bado hatujajua biashara za mtandaoni kaka ndo maana unapata shida yote hiyo. Sijui anapata ugumu gani kuandika bei za bidhaa zote ulizo muuliza au alizonazo kwa kisingizio eti ziko nyingi, “upuuzi “. Mbona ktk supermarkets bidhaa zote zimeandikwa bei na biashara inafanyika kama...
  5. Mahamud_2000

    JamiiForums Tanzania Toyota Voltz

  6. Mahamud_2000

    JamiiForums Tanzania Toyota Voltz

    Mambo vp members! Mwenye Toyota Voltz nyeusi au dark blue,,ya kuanzia 2003,,automatic transmission namba za hiv karibuni au mpya anichek 0714013718
  7. Mahamud_2000

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vichwa vya treni vilivyotupwa Dar, kutumika kwenye SGR ya Tanzania

    Kama hujui kitu kaa kimya kima wewe
  8. Mahamud_2000

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu imetupilia mbali leo maombi ya dhamana ya Yusuf Manji

    Acha kukuza story mkulu alifanyiwa kitu mbaya gani na manji. Huo ni uchochezi.
  9. Mahamud_2000

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kauli yako inaenda kuizika elimu ya juu

    Vyuo vya serikali unaombea online kupitia CAS,,ila vya binafsi unaombea vyuoni moja kwa moja. Tembelea kwenye website za vyuo husika download application form,ijaze then nenda benki kawalipe application fee yao then unaituma chuoni form yako usubir then matokeo.
  10. Mahamud_2000

    JamiiForums Tanzania Kamanda Msangi kupelekwa jijini Dar?

    :D:D:D:D:D:D
  11. Mahamud_2000

    JamiiForums Tanzania UWAJIBIKAJI: Albert Msando ajiuzulu nafasi ya Ushauri wa Chama cha ACT-Wazalendo

    Tupia link mkuu,,au video yenyewe tuione maana ndo wanavyotaka
  12. Mahamud_2000

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

    Umepumzika miaka 8 bado unataka kupractice hizo safe plan methodologies,, at the same time unataka mtoto wa pili bado cjaelewa exactly what do u really want to know. Anyway turudi ktk suala lako,,in short huwezi kutumia kalenda kama mzunguko wako hauko stable
  13. Mahamud_2000

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuteka hisia za binti/mwanamke kimapenzi

    Usipoteze muda mpesa ndo kila kitu kwa papuchi za cku hizi,,hayo mashairi wapelekee waimba taarabu
Back
Top Bottom