Mahamud_2000
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 200
- 99
Watanzania wengi bado hatujajua biashara za mtandaoni kaka ndo maana unapata shida yote hiyo. Sijui anapata ugumu gani kuandika bei za bidhaa zote ulizo muuliza au alizonazo kwa kisingizio eti ziko nyingi, “upuuzi “. Mbona ktk supermarkets bidhaa zote zimeandikwa bei na biashara inafanyika kama kawaida, mbona e bay au jumia bidhaa zote zimeandikwa bei, wew unashindwa nini??Mbona hili jibu haukulitoa toka mwanzo ? kwahiyo niko sahihi niliposema unaficha na huku unatangaza !!!
PM= Uchochoroni
Tubadilike.