UWAJIBIKAJI: Albert Msando ajiuzulu nafasi ya Ushauri wa Chama cha ACT-Wazalendo

Mleta mada, kuweka kumbukumbu sawa aliyekuwa anakiss na mbowe ndiye mkewe yaani lily mbowe.
labda useme unamtaka mbowe kuwajibika baada baada ya kumzalisha kiti maalum flani ndani ya chadema........hapo utakuwa na hoja
 
Giggy katikisa 'supu', Albert kapapasa na 'kupima wese'. Yaliyomo yamo.

-Kaveli-
 
416206b58794d7b9e6721db189bc4b66.jpg

Mmmmmmh Biblia kumbe ipo makini sana
 
ccm hay ahawayawezi, cc Malima pale morogoro na Mwigulu pale nzega sijui, hongera Albert
 
- hahahahahahaha watu wanaona wivu wanajifanya maadili hahahahahaha sisi tunakula batazz batazzzz na le wabebezz hamna cha nani wala nani hahahahahaha, watajifunza sasa

le Mutuz
Jamaa wanasema unapumuliwa. Hivi ni kweli au uzushi wa walimwengu?
 
Ni mtoto na huenda ni mshamba mshamba.

Hivi unadhani sisi wengine hatuyafanyi hayo?

Wengi wetu tunayafanya sana, na ni jinsia zote, lakini tuna akili za kutosha kuweza kujua tunayafanyia wapi na tunayafanya na nani na hakuna cha kupiga mapicha wala kurekodi video.


Hapo na jinsia zote umeniacha kinywa wazi! Kwamba mkuu hata kina james unawapelekea moto pia?
 
You are in the same line of thinking kama mimi.
Gigy anadai kwamba Albert mwenyewe ndiye kasamba hiyo video clip. If this rings true, what was the motive behind? hakujua consequences zake? ama was he drunk?

Yes, this sounds like maigizo hivi. Possibly the incident was deliberately framed.

-Kaveli-
Kuna video ya leo Gigy anasema yeye alimpost tu kama anavyopost akiwa ana wanaume wengine so sio albert aliyepost.
 
Hongera, ila mtu kama Makonda ni ngumu mana akijiudhuru jela moja kwa moja kwa uhaini na makosa ya jinai lazima ang'ang'ane kama chawa kwenye pindo za chupi
Kosa gani la jinai kwa Makonda. Kutaja wauza unga au?
 
Inaonekana huyo Msando amekanyaga sana totoz za mjini. Kuanzia masista duu wa town, totoz za chuo na wauza k kama akina gigy mapesa! Kweli pesa mwanaharamu
 
Kuna video ya leo Gigy anasema yeye alimpost tu kama anavyopost akiwa ana wanaume wengine so sio albert aliyepost.


Shukrani mkuu kwa kuiweka sawa.
Ila kuna mdau R.B kapost hapa page ya Gigy. Hebu cheki post [HASHTAG]#111[/HASHTAG] & [HASHTAG]#112[/HASHTAG] katika uzi huu. Hasa hiyo post [HASHTAG]#112[/HASHTAG] kwenye mistari mitatu ya mwisho.

-Kaveli-
 
Ifike wakati jamii pamoja na familia yake wamsamehe huyu jamaa na maisha yasonge , naamini kuanzia sasa akili zimemkaa sawa na amejua kuwa wanawake siyo wa mchezo mchezo.
 
Back
Top Bottom