It's very funny!! Mahakimu (mahakama zote)wote walio mhukumu Babu seya na wanae walikuwa hawako sawa na hawakutenda haki ila kwa Muhammad na wenzake mahakimu na prosecutors wametenda haki.
Double standards
Kwa magu mimi sikuona ajabu hata kidogo kwa sababu wanasiasa wanaweza kufanya lolote kutimiza azma zao.
Cha shangaza ni jamii yetu ambayo inashangilia kwa watuhumiwa wa ulawiti/ubakaji kupewa msamaha.
1. Je, wananchi hawana imani na vyombo vinavyosimamia sheria kama mahakama na police?
2...
Jemedari yeyote ambaye askari wake wa chini hawamuelewi ni vigumu kushinda vita.
Ili kushinda vita unahitaji mambo mengi,na kubwa kuliko yote ni morali,wasaidizi wako wanafanya kazi za kinafiki ,ndani ya miiyo yao kuna chuki kubwa dhidi yako na wateule wako wachache, na liliotokea Zimbabwe liwe...
Namanga walichelewa Mtukula, na Busia walilifanya mapema kabisa . wenzetu wanataka East Africa federation lakini Watanzania hawataki kwa sababu ya Roho ya Korosho ( Roho mbaya)
Watanzania naturally tuna Roho mbaya sanaaaa.
Hili utalijua kutokana na reactions zetu kwenye social media na vijiwe.
Nakumbuka kipindi mtikila akiwa chati na kuwaita Watanzania wenye asili ya India magabacholi.
Wakati mwalimu anataifisha mali tulifurahia na kumshangilia,pale kiumbe...
Kumbe wanajua hili jambo halifanywi na hata hayawani.
Let us assume kweli wanafanya then what? Mpiga picha na mleta mada hiyo promo iwarudie huko mliko
Dear wana JF.
Ni vigumu sana Ku deal na mabepari,especially kwenye sector ya madini.
Kuna vitu viwili katika mgawanyo wa madini.
1. Royalty
2. Joint venture
Mimi sijaona hayo makubaliano lakini kama serikali imechukuwa namba mbili kama chaguo imeula wa chuya.
Joint venture mnagawana faida baada...
1960's na leo iko tofauti kubwa kabisa ya wasomi na majukumu.
Je ,nini job description ya Gavana BOT na je ni masuala ya kutengeza policy au kuna mambo technical ambayo anatakiwa awe na knowledge nayo.?
Kabla ya kuhukumu kulalamika ni vizuri kujua anatakiwa kufanya nini akiwa ofisini .
Dangote wakati anajenga kiwanda aliangali soko ,na construction industry ime collapse, unategemea aseme nini zaidi ya kukutaarifu kuwa Jiangalieni hiyo barabara mpitayo tunapotea na sisi sote ni abiria.
Hapa kuna scenario mbili , ya kwanza ni RUSHWA na ya pili ilikuwa UONEVU.
Kama tukichukua ya kwanza ni MTU mmoja tu ndio alikuwa na uwezo wa kumtoa kwani ndie aliyemuanzishia hii soo.
Tukichukua ya pili , manji si mtu mdogo ndani na nje ya nchi na yawezekana kuna mashinikizo kutoka katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.