Recent content by magungila

  1. M

    Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    Tunashukuru kwa uchambuzi huu uendelee kwa watia nia wote
  2. M

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Kulikoni wahariri kusafirishwa ? Kuna usalama kweli kwa uhuru wa Habari watakazotoa
  3. M

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Wakati wa kuweka kipaumbele serikali awamu ya nne alikuwemo iweje leo aseme ilikosea , ni vizuri Kikubali kuwa na yeye ni sehemu ya makosa hayo anyway ukiwa nje ya uwanja unaona vizuri makosa ya kocha labda kajifunza
  4. M

    Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

    Kama zaka ,msaada,ujenzi wa msikiti ,ni viongozi wangapi was dini huwa wanahoji vyanzo vya michango mbalimbali?
  5. M

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Km 50kwa saa .ikiwa hivyo dar mwanza ni masaa zaidi ya ishirini ;hii itakuwa haijakaa sawa
  6. M

    Hivi kuna ubaya wowote kujua idadi ya wakristo na waislamu Tanzania?

    takwimu za aina yeyote zinafaida kwa anaye hitaji ili achukuwe maamuzi yanayofaa kwa lengo aliliokusudia kwa walengwa,kwa hiyo hakuna ubaya kujua idadi ya wakristo au waislam au budhas,au wapagani isipokuwa anayetafuta takwimu hizo asijekuwa na mtazamo wa kibaguzi ninaona katika uzi huu
  7. M

    Wizi mpya: Kaeni chonjo!

    noted with thanks
  8. M

    Yusuph Manji na siasa za Tanzania pengine hili ulikuwa hulijui

    I like your comment ingawa inauma
  9. M

    Nionavyo kuhusu mgogoro wa zitto na chadema

    mfukuzeni basi au mnamuogopa na kutumia majukwa toeni tamko ZZK out!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom