Sick n tired na sred za Zitto!...toka lini msaliti ndumilakuwili akajadiliwa? yeye amekubali kuwa mole wa CCM kwa manufaa ya wanaccm na mabwana zao wa ulaya, basi ni bora akaondolewa ili akawatumikie vema kwa uwazi bila ya kificho...Watu wenye uwezo tuko wengi, wazalendo wenye machungu ya kweli kwa nchi yetu tuko wengi sana...enough is enough...adios amigo!