Recent content by magrees

  1. magrees

    Ucku mzuuuri, ndan ya bed!

    U'r welcome to hav a nice night!
  2. magrees

    Karibuni keki

    Daaaaah, ndg co kwa keki hiyo unaweza kunifukuzia wagen wang waalikwa, ukaharibu party.....! mbunifu!
  3. magrees

    msaada kwa wataalamu wa huawei!!!

    Sorry wakubwa hilo tatizo co la huawei pekee, hata mimi natumia TECNO P3 nasumbuliwa nalo! Ushauri plse!
  4. magrees

    Chupi vs boxer

    Chupi ni vazi la kiume, mi nivae ili ishikilie nini? akuuuu mi natembea chukuchuku tu Ebwaanee, kwahiyo ww mwisho wa mwezi nanii iii, huwa unaivaaje bila chupi?
  5. magrees

    Video; ushahidi namna ccm wanavyopanga kujeruhi, kutesa, kuteka na kuua-uchaguzi kalenga

    Mwigulu aondoke kalenga, awachie wao wapambane na CDM kwa liwalo na liwe na amewapa honyo police wasiingile Ni kamanda wa mkoa nadhani kichama. Nmeipenda "kamanda wa mkoa"
  6. magrees

    Naomba ushauri kat ya EGM na CBG ipi mnanishauri nikaisome a-level?

    EGM ni nzuri ndug kama una uwezo na adv.maths, just dare for more!
  7. magrees

    Help me pls: TECNO P3 Single,

    My tecno natumia ni miez 2 sasa but nna siku kama tano imekua nzito xana kufungua internet esp, fb na Jf xo cjajua ni tatizo la simu au mtandao natumia voda, hlp me please!
  8. magrees

    Maneno haya yana maana gani JF?

    Bazazi -Penda penda LB7 - Lumumba Buku 7 Papuchi- Uke De same thanks, coz hata mm nlikuwa kapa upon those words!
  9. magrees

    Utamu wa kazi kuipenda

    Naam, thats nice hakuna kupnda shingo hapo.
  10. magrees

    Huyu ni kuku au ni ndege?

    Ndege hyo!
  11. magrees

    Nahisi kujaribiwa na huyu dada

    Nadhani bra. Ni adult one ambaye unaelewa mambo haya xo ni ww kuangalia plans zako kimahusiano and kuheshimiana co kizuiz ktka malov wish u nice relation....!!
  12. magrees

    UEFA Champions League, Special Thread

    Ni sahih kwamba now kiwango xha arsenal kimekuwa kizur tofauti na misim iliyopita but kwa mchezo wa juzi kadi ilipoteza nguvu ya kusaka ushindi@
Back
Top Bottom