Nahisi kujaribiwa na huyu dada

Nahisi kujaribiwa na huyu dada

subiri leo atakwambia anaskia joto mlale bila nguo. kisha usiku atakwambia baridi mkumbatiane.
Hapa ushauri hauwez kupata. Muombe ushauri huyo dada
 
Nadhani bra. Ni adult one ambaye unaelewa mambo haya xo ni ww kuangalia plans zako kimahusiano and kuheshimiana co kizuiz ktka malov wish u nice relation....!!
 
mbona naskia harufu ya MGEGEDO apa
OVA:shock:
 
Sasa hapo unataka ushauri gani? endelea kulala nae we si unajifanya baba huruma!
 
mkuu julius, wanawake wanaojitongozesha kwa dizain hiyo kuwa nao makini sana ndg yangu. mwanamke mwenye akili zake na aliyekupenda kamwe hawezi tumia njia hiyo. na mimi nakuhakikishia kama utafanikiwa kuwa nae basi huo uhusiano wenu sidhani kama utadumu. chapa ilale, ila vaa gloves usiende dry chama si unajua magonjwa mengi
 
Nini ambacho uelewi hapo? Mbona hakuna sehemu ambayo umeonesha hupendi hayo unayo ya hita majaribu?
Wewe ni sitaki na taka na ujui pakusimamia kabisa.

Hakuna urafiki wa namna hii kwa jinsia mbili tofauti.
 
wanaotaka hayo mambo, hawayapati...

wanaoyataka, hayawapati...

double coincidence of wants!

a man who cannot make decisions on his own, delila will make for him!
 
wanaotaka hayo mambo, hawayapati...

wanaoyataka, hayawapati...

double coincidence of wants!

a man who cannot make decisions on his own, delila will make for him!

Hii ya Delila mkuu duuuu c mchezo!
 
wanaotaka hayo mambo, hawayapati...

wanaoyataka, hayawapati...

double coincidence of wants!

a man who cannot make decisions on his own, delila will make for him!

Akina Delila ni balaa, yaani hutoki kama jamaa alivyo naswa, najua anaomba ushauri huku akiwa na maamuzi yake, na ushauri anaotaka kuambiwa ni "gegeda".

Namshauri kabla ya yoote, wapime kwanza UKIMWI.
 
h
acha ufuska wewe maskini wa bara la giza!!...badala ya kuwaza mambo ya msingi unatuletea mambo ya mbebez!!...ndiyo maana wabongo hamuendelei!!...mnawaza ngono time zote!!...korobwenzo we!!.

Huu nao ushauri?
 
Back
Top Bottom