utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
- Thread starter
- #21
farkhina kumbe tuko wengi,hata wanishikie bunduki sili!
Aaah ata wewe unashindwa? Ngoja nimwite Bin Mngereza anaweza kunisaidia kula
Last edited by a moderator:
farkhina kumbe tuko wengi,hata wanishikie bunduki sili!
heaven on desert njooo!
Kuna mtu anatumia brand name yako Nina mashaka
Jamani nyote mnaniachia mwenyewe?
hahahaaaaa mkuu umetisha sananikatie kichwa nionje...
Hiyo sili hata iweje...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Basi ningeanza na hicho kichwa!Nimekula hapo tu nimeshiba, kubwa hii mkuu
Mama ata kujaribu? Funga macho ule