Hao ni doctor of medicine and vertenary doctor ndio maana wanawatambua!! Hivi unajua kuwa hata barack obama ni phd holder but ulishasikia wanamuita dr obama????
hivi kumbe mtu akitangaza nia ya urahisi ndio anapigwa majungu hivi? yaani hata ushahidi haujawekwa wazi wakina mushi wanataka ipigwe kura ya kumfukuza mtu aaaaah acheni ujinga huo siamini kaka chama makini km chadema kitafanya maamuzi bilia ushahidi wa uhakika.....
sorry mkuu unaweza ukatupa updates kuhusu kesi ya uchaguzi wa sumbawanga mjini coz naona kama upo hapo sumbawanga mjini sorry kwa kuchanganya mada bt am curious to know if my former headmaster will win that case.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.