PICHA: Mapokezi ya Prof Lipumba; Afande sele atumbuiza

PICHA: Mapokezi ya Prof Lipumba; Afande sele atumbuiza

Watu wengi waliofurika ni waliokodishiwa mafuso kuja kujaza na kuongeza idadi ya watu.

Propaganda dhidi ya akina Rashid Hamad na wenzake. Hawa ni sisi B hawana mpya.
 
looser! sema kingine

wewe ndo looser ndugu hadi picha za malori zipo, nitaziuoload kesho...... Au hujui walipita sokota baada ya kupandishwa kwenye malori kama nyanya pale temeke hospitali? Sema kingine
 
wewe ndo looser ndugu hadi picha za malori zipo, nitaziuoload kesho...... Au hujui walipita sokota baada ya kupandishwa kwenye malori kama nyanya pale temeke hospitali? Sema kingine

Chadema na ccm mnaiogopa sana CUF pole sana
 
Hii ni sawa na kuficha uchafu uvunguni ili baba asione,wanasahau utakuja nuka soon,Lipumba angeachana na siasa uchwara aanzishe hata taasisi ya consultancy za uchumi na mipamboo ili atunusuru na balaa la omba omba,biashara ya magogoni haimfai tena asije akapata kura za mrema.
 
Hawa vibwetere wa Hamad Rahid wanahangaika sana juzi walipost humu JF kwa CUF wametumia milioni 500 wakageuza kwenye gazeti lao na mitaani wansema milioni 700 leo hii wamepunguza wnasema imetumika 150.Mbona mna hangaika sana si mmeanzisah chama chenu cha ALLIENCE FOR DESTROYING CUF-ADC.Bora mkae mtulie mjenge chama chenu.Uzishi na Uongo havitawasaidia.Nyie mmekwisha kufa hata mkitapatapa humo kaburini hamtoki.Hamad Rashid kawanunu kwa bei chee sana.Matumizi yote unayoeleza ni uongo uongo mtu.
 
Haiwezekani...ni kusafirisha watu kutoka mikoani?

Wanachama waliokuja na usafiri wao kutoka pembezoni mwa Dar na mikoa ya jiran ambayo ni sawa na 5% na umati uliokuwepo.wamekuja kwa mapenzi yao ya kumpokea mwenyekiti wao wa chama chao kwa pesa walizojichangiza wao wenyewe na wengine kuongezewa pesa kidogo na wabunge wao.WE KINAKUUMA NINI.ETI WASIKOD USAFIRI KUJA KISA WATU WATASEMA.ACHA MAWAZO MGANDO WEWE.
 
Suala la Prof Lipumba naliona kama limeleta sifa kwa taifa zima lakini wengine wanataka kulifanya kwamba sifa kakiletea chama cha CUF. Hapo ni kama kushusha mafanikio ya prof kutoka kuwa ya taifa hadi kuwa ya chama cha siasa.
 
mambo mengi siku hizi yanakwenda kwa jina la wafadhili si lazima fedha zote zitoke ndani ya chama. Kuna watu wanaweza kufadhili mapokezi hayo na chama kikatoa fedha kidogo tu. Ni muhimu pi kujua jinsi milioni 150 zilivyopatikana kwa ajili ya kazi ya mapokezi
 
Hakukuwa na haja ya kutumia fedha kiasi hicho kwa tukio kama hilo. Bora hata wangepewa wabunge wao kuchangia shughuli za maendeleo au wangetafuta kundi la vijana wakaanzisha miradi midogo midogo kupunguza tatizo la ajira naamini wangekitangaza chama chao maradufu kuliko hili tukio halina impact yeyote kwa uchumi wetu wala chama chao. mil 10 hadi 20 zinatosha tena nyingi.
 
Nimeona hii kitu kwenye habari ya ITV saa mbili...Kilichonisikitisha ni kusikia baadhi ya wana CUF kutaka kuwapiga waandishi wa ITV. Kingine naamini kabisa hawa wote siyo wana CUF ila ni ...ila wamekwenda pale kwa gia ya CUF. Mapokezi mazuri though...!
 
Suala la Prof Lipumba naliona kama limeleta sifa kwa taifa zima lakini wengine wanataka kulifanya kwamba sifa kakiletea chama cha CUF. Hapo ni kama kushusha mafanikio ya prof kutoka kuwa ya taifa hadi kuwa ya chama cha siasa.

cuf ndio wanaona amewaletea sifa wao..kwani we pale uliona bendera ya taifa hadi useme suala la kitaifa.?
 
Sina ushabiki na CUF lakini kwa hali ilivyo nadhani JK angemwondoa Benno Ndulu atuwekee Lipuba pengine atatufikisha mahala
 
Back
Top Bottom