Member wa Fri masonry,haojiwa Sumbawanga TV

Wakuu,kuna mdada anaitwa Leah,toka Sumbawanga,ni mzaliwa Wa Iringa ana miaka 14 anahojiwa Jumaa Kisika wa RFA,Ukweli kuhusu Fri masonry na alikuwa memba wa haya madude.Bt aliokoka cku ya J5 ktk kanisa la EAGT.Anatoa ukweli walivyokuwa wakifanya.Na mada inaendelea wiki ijayo akiendelea kuhojiwa mda saa2 .30 usku,akidai kuwa hii ishu ilianzia Marekan .Dsm ni makao makuu na Swanga Fri masonry wapo kibao.Bahati mbaya yeye ni maskini na amesema wanakula nyama za watu. anaonyesha chata mbali mbali za mizimu,kama sahihi ya rusifa,fri masonry,nyingne zko sehemu nyeti.alama kama 606 mwilin na anadai yeye alikuwa wazir mku wa TZ.Fuatilia kipindi kjacho

sorry mkuu unaweza ukatupa updates kuhusu kesi ya uchaguzi wa sumbawanga mjini coz naona kama upo hapo sumbawanga mjini sorry kwa kuchanganya mada bt am curious to know if my former headmaster will win that case.....
 
kila kitu siku hizo kinahusishwa na huu upuuzi aaarggghhh sijui lini tutaacha kulimbukia mambo.
hapo hilo kanisa washapaa ubunifu wa kuvuta watu,eti alikua waziri mkuu wajinga wataamini na kuliwa sana.
Si ndo maana yule mzee wa Loliondo akawakamata pabaya, yaani wabongo bana! mimi nje ya Tanzania nikiulizwa raia wa wapi nadanganya wa mauritania. Bongo ovyo kabisa
 
Mbona mwandishi haujaeleweka mara anahojiwa Sumbawanga TV mara na Juma Kisika wa RFA..!

Juma Sami Kisika wa RFA pia ni mtangazaji (anakula party time)Sumbawanga TV(STV).Inapatkana swanga-Rukwa
 
sorry mkuu unaweza ukatupa updates kuhusu kesi ya uchaguzi wa sumbawanga mjini coz naona kama upo hapo sumbawanga mjini sorry kwa kuchanganya mada bt am curious to know if my former headmaster will win that case.....
Don mention mku,kesho ndo hukumu.Tunajiandaa kupeperusha bendera za wataka haki,Mze Yamsebho lazma atutetee.itarushwa imediately,kp n touch
 
Huyuhuyu Juma Kisika? Si mwandishi wa habari bana. Ni mbabaishaji flani hivi unakumbuka aliwahi kutoka na kisa cha kunguru kumla ng'ombe kule sumbawanga wenyeji? Hovyo kabisa.
 
Kweli Shigongo ni jasiriamali wa ukweli.
Alibuni Style ya kuuza magazeti ni kuhusisha kila Maarufu, Kila Tajiri, Kila tukio na u-FreeMasonry. Amefanikiwa na sasa vyombo vingine vya habari vinapata ulaji na airtym.
Hii ni kutokana na uvivu wa kufikiri na kudadisi.

Huyo dada ni mchawi tu wa kawaida
 
Wakuu,kuna mdada anaitwa Leah,toka Sumbawanga,ni mzaliwa Wa Iringa ana miaka 14 anahojiwa Jumaa Kisika wa RFA,Ukweli kuhusu Fri masonry na alikuwa memba wa haya madude.Bt aliokoka cku ya J5 ktk kanisa la EAGT.Anatoa ukweli walivyokuwa wakifanya.Na mada inaendelea wiki ijayo akiendelea kuhojiwa mda saa2 .30 usku,akidai kuwa hii ishu ilianzia Marekan .Dsm ni makao makuu na Swanga Fri masonry wapo kibao.Bahati mbaya yeye ni maskini na amesema wanakula nyama za watu. anaonyesha chata mbali mbali za mizimu,kama sahihi ya rusifa,fri masonry,nyingne zko sehemu nyeti.alama kama 606 mwilin na anadai yeye alikuwa wazir mku wa TZ.Fuatilia kipindi kjacho

hakuna lolote. Ni pandikizi la wachungaji na maaskofu fake huyo.
 
hii fri mason ya TZ ya aina yake lol
The Boss hii ya kwetu naona imekuwa adjusted kidogo.
Si ndo maana yule mzee wa Loliondo akawakamata pabaya, yaani wabongo bana! mimi nje ya Tanzania nikiulizwa raia wa wapi nadanganya wa mauritania. Bongo ovyo kabisa
klorokwini kuna vitu ambavyo ni hapa tz tu ndo vinaweza kutendeka,we angalia babu alivyofanikiwa kukamata hadi akili za viongozi wa juu wa taifa hili.Ila nadhan u freemason wa tz utapita tu kama kikombe cha babu kilivyopita.
 
Last edited by a moderator:
sorry mkuu unaweza ukatupa updates kuhusu kesi ya uchaguzi wa sumbawanga mjini coz naona kama upo hapo sumbawanga mjini sorry kwa kuchanganya mada bt am curious to know if my former headmaster will win that case.....

Kuna kila dalili headmaster wetu atashinda kesi hii. Hukumu ni kesho!
 
oooh lord, tell me that our moderator is asleep... nini hiki sasa

naona wale maaskofu wa briefcase sasa wamepata kipya cha kuvuna watu.... mwisho tutaambiwa freemason ni kabila liko iyambi singida

LOL
 
Japokua sikumsikia live lakini ukiisoma hii mada utagundua uongo mwingi anaosema huyu bwana. Kwanza tumeshasikia kua ma freemason hapa nchini ni pamoja na wafanyabiashara wakubwa, viongozi wa serekali na watu maarufu. Tena wapo after money. Sasa iweje leo hii vigogo kama hao wakawe na katibu mchovu kama huyo? yaelekea huyo bw hii freemason kaielewa vibaya.labda kadhani ni hizo radi wanazotumiana bila ya kutanda mawingu
 
Back
Top Bottom