Ndugu zangu,
Hata mwezi haujapita, niliweka hoja hii mezani kwenye ukurasa wangu wa FB. Kuna ambao walinielewa, lakini kuna ambao hawakunielewa mpaka kufikia kunijadili mtoa hoja badala ya hoja iliyokuwa mezani. Ni haki yao.
Upinzani katika hali ya sasa umesambaratika. Kuna kosa kubwa...