.. Opposition Is In Disarray.

maggid

Verified Member
Dec 3, 2006
1,084
1,500
Ndugu zangu,

Hata mwezi haujapita, niliweka hoja hii mezani kwenye ukurasa wangu wa FB. Kuna ambao walinielewa, lakini kuna ambao hawakunielewa mpaka kufikia kunijadili mtoa hoja badala ya hoja iliyokuwa mezani. Ni haki yao.

Upinzani katika hali ya sasa umesambaratika. Kuna kosa kubwa lilifanywa na UKAWA, tunalijua.

Nitakuwa mtu wa mwisho kutaka turudi kwenye mfumo wa chama kimoja, maana naamini katika pluralism.

Hata hivyo, naiona haja ya uwepo wa mbadala wa vyama vya upinzani vilivyopo sasa. Ni kwa vile, tofauti na CCM, ambacho ni Chama Itikadi na Wanachama, vilivyopo ni vyama Kiongozi/Viongozi (Wenye navyo) na Itikadi Holela.

Si kazi nyepesi, kujenga chama cha siasa chenye misingi ya itikadi na kilicho chini ya wanachama.

Kunahitajika uwepo wa demokrasia ya ndani ya vyama ( Intra Party Democracy). Madhara ya kutafuta njia za mkato hupelekea msambaratiko kama tunaoushuhudia sasa.

Nini kinafuata?

Kuelekea 2020 Wabunge wa upinzani wenye kukubalika kwenye majimbo yao wanaweza kuanzia sasa kufikiri kwenda kugombea tena kwa tiketi za CCM kwa kuhofia jahazi walilomo sasa linaelekea kuzama.
Inasikitisha

Maggid Mjengwa.
0688 37 36 52 ( Whatsapp)
 
Attachments

  • 02.jpg
    File size
    63.3 KB
    Views
    29

Bomoabomoa

Member
Mar 6, 2016
51
95
Hivi wewe ni Maggid Mjengwa yule yule mchambuzi nguli wa siasa au kuna mtu anatumia jina lako? Sasa ndo umeandika nini mkuu?
 
The Invincible

JF-Expert Member
May 6, 2006
5,939
2,000

Wakala wa ccm umesomeka. Kenge! Hivi unavaaga hata chupi wewe?
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
3,725

Huu ndo uzi bora kabisa...uhalisia ni kuwa wabunge/madiwani wa upinzani baadhi wameusoma mchezo wa CCM na ipo wazi kabisa kuwa wakiendelea kuwa upinzani watalamba gharasa 2020...wanajihami mapema na si vinginevyo...
 
Nginana

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
839
1,000
Ndugu zangu,

Hata mwezi haujapita, niliweka hoja hii mezani kwenye ukurasa wangu wa FB. Kuna ambao walinielewa, lakini kuna ambao hawakunielewa mpaka kufikia kunijadili mtoa hoja badala ya hoja iliyokuwa mezani. Ni haki yao.

Upinzani katika hali ya sasa umesambaratika. Kuna kosa kubwa lilifanywa na UKAWA, tunalijua.

Nitakuwa mtu wa mwisho kutaka turudi kwenye mfumo wa chama kimoja, maana naamini katika pluralism.

Hata hivyo, naiona haja ya uwepo wa mbadala wa vyama vya upinzani vilivyopo sasa. Ni kwa vile, tofauti na CCM, ambacho ni Chama Itikadi na Wanachama, vilivyopo ni vyama Kiongozi/Viongozi (Wenye navyo) na Itikadi Holela.

Si kazi nyepesi, kujenga chama cha siasa chenye misingi ya itikadi na kilicho chini ya wanachama.

Kunahitajika uwepo wa demokrasia ya ndani ya vyama ( Intra Party Democracy). Madhara ya kutafuta njia za mkato hupelekea msambaratiko kama tunaoushuhudia sasa.

Nini kinafuata?

Kuelekea 2020 Wabunge wa upinzani wenye kukubalika kwenye majimbo yao wanaweza kuanzia sasa kufikiri kwenda kugombea tena kwa tiketi za CCM kwa kuhofia jahazi walilomo sasa linaelekea kuzama.
Inasikitisha

Maggid Mjengwa.
0688 37 36 52 ( Whatsapp)

Si sahihi hata kidogo kudai kuwa CCM "ni chama itikadi na wanachama". Eti, tangu kuzikwa kwa Azimio la Arusha kwa kupitia Azimio la Zanzibar mwaka 1991 CCM imekuwa inafuata sera zenye mrengo wa itikadi ipi? Itikadi hewa inayojitambulisha nayo ya Ujamaa na Kujitegemea au ubepari uchwara (uliberali mamboleo)?

"Nguvu" ya CCM haitokani kamwe na itikadi wala wanachama; inatokana tu na kushikamana kwake na dola kutokana na sababu za kihistoria. Na kiuhalisia CCM bado ni chama dola. Mapendekezo yote ya Tume ya Jaji Nyalali yaliyolenga kuiondolea CCM hadhi ya uchama dola yalitupwa kwa maana kuwa hayakutekelezwa. Kwa upande mwingine, Katiba ya JMT inampa rais (mwenyekiti wa CCM) madaraka na hadhi ya rais wa kiimla. Hii ndio nguvu ya CCM!

Kama kweli nguvu ya CCM ingetokana na itikadi yake, basi CCM ingekuwa na sera maridhawa ambazo kwa kiasi kikubwa zingekuwa zimetokomeza umaskini nchini. Lakini, kiuhalisia, tunashuhudia umaskini ukiendelea kushamiri nchini!

Na kwa taarifa tu hakuna chama cha siasa (kwa sasa) Tanzania Bara chenye misingi thabiti ya kiitikadi (mbali tu na utambulisho wa kiitikadi [ideological identity] katika katiba kama formality) na ambacho kina wanachama wanaoamini katika itikadi hizo.

Kwa hoja hii, siasa na vyama vya siasa hapa nchini ni miradi tu ya wanasiasa ya kusaka madaraka na fursa za ulaji zinazotokana na hayo madaraka. Hivyo kama watawala wamepania "kuwanunua" wanasiasa wa upinzani, watawapata wengi tu.

Lakini tujiulize, what will be the practical consequence of this childish game? Kupungua kwa nguvu na ushawishi wa upinzani maana yake ni kuondoa checks and balances ambazo ni muhimu kwa demokrasia na uwajibikaji - vitu ambavyo ni lazima kwa maendeleo. Mobutu alifanya sana huu mchezo wa kitoto wa kununua wapinzani. Na sasa tunampima Mobutu kutokana na madudu yake haya. Mobutu's legacy is that of a corrupt and ruthless dictator! On the other hand, DRC has since been in a state of chaos!
 
Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,856
2,000
Hivi wewe ni Maggid Mjengwa yule yule mchambuzi nguli wa siasa au kuna mtu anatumia jina lako? Sasa ndo umeandika nini mkuu?
Unabisha nini wewe nyumbu? Usiwe Kama Waziri wa Habari wa Iraq Bwana Al Sahaf. Tambua kuwa upinzani umekufa na hautaibuka tena. Period! Jiandae kurudi CCM mapema!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom