Katika kile kinacho onekana tatizo la ajira nchini bado watajwa hao wanasubiri ajira
Kama ambavyo mrema Ali ahidiwa ajira na akateuliwa nawaomba Dr dau na balozi ombeni sefue wasubiri ajira zao kama walivyo ahidiwa
Watakumbukwa kwakua waliahidiwa
Hata makonda alikutana na FFU kujidhatiti kuhusu Ukawa sasa nani katikisika?
Tume ya haki za binadamu imetangaza suruhu likini wajumbe wemeingia mitini wa ccm,ag nk
Sasa nani asietikisika?
Rais kasoma yasansi na waziri sayansi
Ulitegemea matokeo tofauti?huu ni ubaguzi wa wazi wazi
Kikubwa walitakiwa wao waongeze ushindani ktk masomo kwaku tenga mazingira mazuri ya kusomea na kufundishia
Lakini kubwa kabisa ni maslahi kwa wanao fundisha ya boreshwe
Baada ya kusoma gazeti hili nikaweka nyimbo ya msaga sumu ..lowassa....lowasaa....
Wakati nashangaa shangaa naona watu wanaongezeka dukani kwangu
Wanasikiliza nyimbo kwa raha sana na kusema huyu mzee ndie mkombozi wetu
Nikawaukiza kulikoni wakasema hali imekuwa mbaya sana mitaani
Vibaka...
Amekusudia alioko front ya gazeti lakini ametumia ujanja kujiweka salama na waziri wa magazeti
Maana yule akiendika kifaru cha jeshi ana nyea debe somalia
Washamba hao
Mbona ziko shuke zina majina ya maccm na wanayakubali
Yussuf Makamba sec
Bernard membe sec
Mama salma kikwete sec
Nk mbona hizi zimesajiliwa?
Waache unazi wao ccm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.