Lowassa azidi kujikita kwenye siasa

Lowassa azidi kujikita kwenye siasa

Huyu mzee angeonyweshwa future yake nahisi angeacha kupoteza mda na pesa...ila kwakuwa haijui kesho wacha asubir tena 2020 atakapochinjwa na wananchi
 
Kuwa mjinga juu ya jambo fulani si kosa ila pale unaporuhusu ujinga kutawala sehemu ya maisha yako ni kosa lisilosameheka

Lakini si ni yeye mwenyewe aliyesema ataenda kuchunga akishindwa urais? Kwani huko bilicanas ndiyo kuna ng'ombe wa kuchunga?
 
Lakini si ni yeye mwenyewe aliyesema ataenda kuchunga akishindwa urais? Kwani huko bilicanas ndiyo kuna ng'ombe wa kuchunga?
Lowasa ni level Ingine.....je yule aliyesema anakwenda msoga Yuko huko!

Ovaaa
 
Kuwa mjinga juu ya jambo fulani si kosa ila pale unaporuhusu ujinga kutawala sehemu ya maisha yako ni kosa lisilosameheka
Kosa lisilosameheka kama kuamini UKAWA sijui, Ah! UKUTA itachukua Nchi 2020!!
 
sasa hapo si wanafanya mikutano mbona polic haiwaingilliii,, kutwa kulaumu serkali kwa mambo ya kitoto.
Si ndio washasalenda, yule Dict alcohol makomeo dadaaa wa Uganda anaona aibu kwa kauli zake maana kisheria hakuna wa kuzuia mikutano ila ubabe tyu
 
Mkuu Mh Lowassa ana hekima,lakini cha kushangaza humu humu Jamii Forum tulizoea kuona baadhi ya wadau wakimuandama karibu kila siku mfululizo utafikiri ni askari wa kukodiwa.Ziliandikwa ngonjera zenye kila hila,nashangaa sasa wameoja machungu wanageuka nyuma kuwa jiwe.
Ndo binadamu walivyo mkuu..Walidhani Lowasa ana mihemko kama ya kwao. Huyu ni mtu makini sana katika siasa za ndani na nnje ya nchi
 
inawezekana mkuu lakini nimemuangalia Lowasa kabla wakati yuko CCM alikuwa na furaha na uso wenye tabasabu kila wakati...toka ajiunge na CHADEMA amepoteza furaha anaonekana na huzuni muda wote


Akili ndogo siku zote hujadili watu, na ndiyo walivyo mazwazwa was Lumumba siku zote wanamjadii Lowasa. Malaya wakubwa.
 
Kashuka kiwango kutoka kupigiwa deki hadi kwenda bils kama Juma Necha.
 
Acha zako unadhan ataongoza milele, badala ya kusifia chama unasifia mtu mmoja kna mwanasiasa aliwahi kusema chadema INA umaskn WA viongoz hii inajidhihilisha laiv bila chenga pale MTU anaposema rais WA mioyo ya watanzania anasahau kuwa kikomo kuwa kikomo cha uongox in 10 years
 
Billicanas!! aah nisishangae sana maana kuna rafiki yangu alisomea fine art pale ud..............at least anaonesha tofauti kati ya nyumbu Na pofu
 
Baba lowassa baba mvumilivu mwana siasa nguli Mungu akubariki sana.Uchwara ametuchosha na kukurupuka
 
Back
Top Bottom