RASMI: PCB, PCM na CBG ndio pekee wanaopata kipaumbele cha mkopo

TheDealer

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
2,424
1,129
Soma vizuri guidebook ya TCU. Priorities kwenye programmes mbalimbali zimeonyeshwa dhahiri. Programme zipo hizi tu: Computer, Afya, Industrial na Engineering.

Angalia admission requirements zake. Physcics, Chemistry, Mathematics and Biology. Kwa maneno mengine ni PCB, PCM, PGM and CBG.

Tutegemee nini?
Kwanza, Tutegemee kwamba programmes hizo zitakuwa na ushindani mkubwa na mkali sana kwa applicants kwa sababu ya mkopo

Pili, Vyuo vingi vitakosa wanafunzi maana wengi hawajasoma masomo ya sayansi hii ni kutokana na kutokidhi sifa za kupata mkopo.

Tuendelee kujulishana!
 
Kazi ipo kwa hiyo aliyesoma PCM akapatata matokeo CEE anaweza akapata mkopo kuliko aliyesoma HKL akapa ABB?
 
Unajua Maana ya Rasmi? anyway tujitwike madani.

Alafu hivi unafikiri wanatoa mkopo kidizaini hiyo?
Hawatoi kwa sababu ya combination uliyosoma Advance Bali kutokana na kozi utakayosomea Chuo Kikuu.

Kuna watu wengi wamesoma combinations tajwa na walipofika chuo kikuu wakasoma Business Administration,Accounting na kozi nyinginezo. Siyo lazima asome Kozi za Engineering na Health kama unavyodhani.

Alafu mbona umesahau combination ya kiume hapo juu? PGM?
 
Rais kasoma yasansi na waziri sayansi

Ulitegemea matokeo tofauti?huu ni ubaguzi wa wazi wazi

Kikubwa walitakiwa wao waongeze ushindani ktk masomo kwaku tenga mazingira mazuri ya kusomea na kufundishia

Lakini kubwa kabisa ni maslahi kwa wanao fundisha ya boreshwe
 
PGM ndiyo combination inayohitajika zaidi kwa sasa, na umhimu wake uko wazi
 
Kwani miaka yote ikoje? Hakuna mwaka arts imewekwa kwenye priorities isipokua wale watakaosoma education pekee.

Hivyo usiogope maandishi Mkopo upo hata kwa arts.
 
Kazi ipo kwa hiyo aliyesoma PCM akapatata matokeo CEE anaweza akapata mkopo kuliko aliyesoma HKL akapa ABB?
Ok, huoni kuwa mtu wa HKL mwenye ABB hana kigezo cha kuomba programmes za computer, afya, industrial ama engineering? ambazo kwa maneno mengine ndio zenye priority ya kupata mkopo? Ila huyo mwenye CEE anaweza.
Sio case tuendelee kuelimishana!
 
Kwani miaka yote ikoje? Hakuna mwaka arts imewekwa kwenye priorities isipokua wale watakaosoma education pekee.

Hivyo usiogope maandishi Mkopo upo hata kwa arts.
Mkopo upo kwa arts kwa programme zipi. Tusiandike kwa mazoea tuandike kwa evidence. Tembelea guidebook ya TCU then point out programmes za requirements za masomo ya arts ambazo zina priority. Usisahau tunatembea kwenye kifuli cha serikali ya kubana matumizi.

Nakukumbusha pia serikali inahamia Dodoma within this 4 left years bajeti trilioni 1.3 where are the money?

Tuendelee kujulishana!
 
Soma vizuri guidebook ya TCU. Priorities kwenye programmes mbalimbali zimeonyeshwa dhahiri. Programme zipo hizi tu: Computer, Afya, Industrial na Engineering.

Angalia admission requirements zake. Physcics, Chemistry, Mathematics and Biology. Kwa maneno mengine ni PCB, PCM and CBG.

Tutegemee nini?
Kwanza, Tutegemee kwamba programmes hizo zitakuwa na ushindani mkubwa na mkali sana kwa applicants kwa sababu ya mkopo

Pili, Vyuo vingi vitakosa wanafunzi maana wengi hawajasoma masomo ya sayansi hii ni kutokana na kutokidhi sifa za kupata mkopo.

Tuendelee kujulishana!
Do you mean PGM siyo Science?
 
Mkopo Kwa Awamu ya Kikwete Ilikuwa Ni Kama Kila Mtu ana Haki ya Kupata Mkopo Haijalishi Amesoma Nini..

Sasa Sijui kwa Ndalichako na Bodi kwa Sasa Maan Serikali toka Iingie Kazi yake Ni Kuumiza Tu nafuu hakuna
 
Huyo mwny CEE huyo atapiga bachelor kweli maana atlest princpl 2 ambazo ni D 2 au
Atapigana bachelor kama hizo CEE sio zile za GPA, ila kama zile kavu kavu hapo ana point 4 yaani C - 3 na E - 1 hapo yupo mpakani mwa kukosa na kupata.
 
Kimsingi, Arts combinations kwa sasa hazitakuwa na future kwa watoto wa masikini.
 
Unajua Maana ya Rasmi? anyway tujitwike madani.

Alafu hivi unafikiri wanatoa mkopo kidizaini hiyo?
Hawatoi kwa sababu ya combination uliyosoma Advance Bali kutokana na kozi utakayosomea Chuo Kikuu.

Kuna watu wengi wamesoma combinations tajwa na walipofika chuo kikuu wakasoma Business Administration,Accounting na kozi nyinginezo. Siyo lazima asome Kozi za Engineering na Health kama unavyodhani.

Alafu mbona umesahau combination ya kiume hapo juu? PGM?

Well, angalia priorities maana nimeona hili based on priorities and requirements za programme husika. Usijibu kimazoea.

Yeah, coz ya PGM nilisahau lkn tayari nime update.
 
Soma vizuri guidebook ya TCU. Priorities kwenye programmes mbalimbali zimeonyeshwa dhahiri. Programme zipo hizi tu: Computer, Afya, Industrial na Engineering.

Angalia admission requirements zake. Physcics, Chemistry, Mathematics and Biology. Kwa maneno mengine ni PCB, PCM, PGM and CBG.

Tutegemee nini?
Kwanza, Tutegemee kwamba programmes hizo zitakuwa na ushindani mkubwa na mkali sana kwa applicants kwa sababu ya mkopo

Pili, Vyuo vingi vitakosa wanafunzi maana wengi hawajasoma masomo ya sayansi hii ni kutokana na kutokidhi sifa za kupata mkopo.

Tuendelee kujulishana!
Kama umeotaja CBG vipi kuhusu PGM na CBA?
 
Back
Top Bottom