Lazima utakua namatatizo yaakili wedada sio bure. Sasa hivi ndio unamuona hafai baada kakukufikisha hapo ulipo? Muogope mungu. Huyo nimwanaume mwema kwako, hana nia mbaya nawewe. Kajitolea kwahali namali. Yote hayo umeona hayo ndio malipo yake? Kweli kunguru hafugiki
Pole sana. Ila kaka usimdharau mtu usiemjua. Napia hata kama kakutukana basi ulitakiwa kumpuuza tuu kwakua umeshasema anauelewa mdogo. Unapoyakuza mara kwamwanasheria mara huku mwisho wewe ndio utaonekana huna akili. Inamaana kila anaekutukana kwako inakua kesi?? Bora mpuuze uendelee namambo yako.
Siku zote ugomvi wa baba na mama waathirika wakuu niwatoto. Wazazi tusiwe tunaangalia upande wetu tuu. Linapotokea tatizo tujaribu kuwawekea mazingira mazuri watoto kwafaida ya baadae. Mungu atawasaidia hao watoto.
Mungu kaumba wanawake wakila aina, sasa mtu akiamua kua nawewe basi anatakiwa aridhike navile ulivyo. Huyu mpenzi wako hana mapenzi yadhati. Maana wanasema mapenzi ni upofu. Angekua anakupenda hata kama upoje angeridhika nawewe
Mtoa maelezo hakujipanga. Anaishi kwa baba namama wakambo, baba namama wakambo ndio walomfanyia hayo matatizo, hapohapo akawa anajifungia ndani wajirani wasimuone anvyoteseka, baba huyohuyo alomroga akaampeleka hospital kujua tatizo nini. Mara akaja mama yake mzazi. Mara yupo kwamume wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.