Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,550
Report ya Daktari iliwekwa humu,tafuta!
Ile ya Amy Winehouse!??
Report ya Daktari iliwekwa humu,tafuta!
Hilo swali umeliokota wapi?rudi hapohapo ulipoliokota utakuta na majibu yake hapo.
RIP......
Tunawaasa wasanii waache tabia ya kubugia ma cocaine, hili la Mangwair liwe fundisho kwao na vijana wenye tabia ya kubugia madawa ya kulevya
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hata mimi ningependa kujuwa jamaa kafa kwa sababu gani?