Mlokole amnywesha damu ya hedhi mwanaye

Mlokole amnywesha damu ya hedhi mwanaye

Unahitaji kuwa mjinga hasa kuamini story za namna hii. Kuna sehemu hapo inasem 'dakatri akaniambia utakaa katika hali hii kwa mwezi mzima' hivi dakatari anawezaje kujua damu itaacha kutoka kwa mwezi mzima? Kwanza na wewe MziziMkavu, ilikuwaje mpaka mwanaume ukaanza kusoma Risasi? Habari kama hizi huwezi kuzikuta kwenye magazeti yenye akili zake.
Mkuu labda wewe ndio mgeni kwa MziziMkavu, mwenzako hapo yupo kwenye Jihad kutimiza sunna za mtume, hizo hadithi za kusadikika zingemuhusu Sheikh wala asingezileta hapa. Hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye anategemea source ya habari kwake iwe ni Global Publishers, ukimuona mtu wa aina hiyo basi ujuwe upstairs empty.
 
God knows the lies and the truth all I want to beliave aliponywa kwa jina la yesu cjui marketing sijui sio kweli mimi hilo ctaki kujua
 
Mtoa maelezo hakujipanga. Anaishi kwa baba namama wakambo, baba namama wakambo ndio walomfanyia hayo matatizo, hapohapo akawa anajifungia ndani wajirani wasimuone anvyoteseka, baba huyohuyo alomroga akaampeleka hospital kujua tatizo nini. Mara akaja mama yake mzazi. Mara yupo kwamume wake!!! Hizi dini sikuhizi zimekua biashara tuu. Uongo mtupu.
 
aalah!!! kumbe ni riwaya.mwee!ngoja niishie zangu.
 
Duniani kuna mambo! story haijulikani mwanzo wala mwisho. Ila MziziMkavu, una undugu na Shigongo, au anakurushiaga story?
 
Mkuu labda wewe ndio mgeni kwa MziziMkavu, mwenzako hapo yupo kwenye Jihad kutimiza sunna za mtume, hizo hadithi za kusadikika zingemuhusu Sheikh wala asingezileta hapa. Hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye anategemea source ya habari kwake iwe ni Global Publishers, ukimuona mtu wa aina hiyo basi ujuwe upstairs empty.

Aliyeleta mada is a known 666.
Kichwani kwake anachokifikiria ni kuudhalilisha ukristo tu. Ambacho hajui ni kuwa ukristo unasimama wenyewe kwa nguvu ya Mungu na kwa mazuri yaliyomo ndani yake. Haudumishwi kwa kuulinda na vifaru na makombora. Juhudi nyingi sana zinafanyika na 666 na wafuasi wao kuukashifu na kuudhalilisha lakini bado ukristo unaendelea at a steady pace.

Mleta mada kaileta hiyo katika juhudi zake za kujifurahisha....
 
Duniani kuna mambo! story haijulikani mwanzo wala mwisho. Ila MziziMkavu, una undugu na Shigongo, au anakurushiaga story?

Story yenyewe ya 2011.
Kaitafuta na kuileta hapa katika juhudi za kukata kiu yake ya kiroho...
 
Aliyeleta mada is a known 666.
Kichwani kwake anachokifikiria ni kuudhalilisha ukristo tu. Ambacho hajui ni kuwa ukristo unasimama wenyewe kwa nguvu ya Mungu na kwa mazuri yaliyomo ndani yake. Haudumishwi kwa kuulinda na vifaru na makombora. Juhudi nyingi sana zinafanyika na 666 na wafuasi wao kuukashifu na kuudhalilisha lakini bado ukristo unaendelea at a steady pace.

Mleta mada kaileta hiyo katika juhudi zake za kujifurahisha....
Nanren, I salute you!

Namjua kwa hila na mawazo yake machafu na unafiki. Ila tukumbuke yeye ni victim wa malezi ya manung'uniko na bakora.
 
Last edited by a moderator:
Huyu Binti naona sasa anautumia ulokole wake huo kujipatia umaarufu maana hii story niliiskia mwaka jana kama August fulani hivi kwenye kipindi cha Weekend Special cha Radio WAPO mara baada ya miezi kadhaa nikamuona kwenye TV akiwa kwenye maombi kwenye kituo fulani hivi cha Nabii nani vile sikumbuki vizuri, leo kaibukia huku.....hivi kila ushuhuda ungekuwa unatungiwa kitabu tungekuwa na vitabu vingapi???
 
Mkuu labda wewe ndio mgeni kwa MziziMkavu, mwenzako hapo yupo kwenye Jihad kutimiza sunna za mtume, hizo hadithi za kusadikika zingemuhusu Sheikh wala asingezileta hapa. Hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye anategemea source ya habari kwake iwe ni Global Publishers, ukimuona mtu wa aina hiyo basi ujuwe upstairs empty.

Mkuu Matola, I salute you!

Rest assured kuwa namjua huyu mnafiki kuliko unavyodhani. Siku zote shetani haweki uongo mtupu, huja na mengine yenye ukweli ili kuupamba uongo. Ni juu yetu kuomba Hekima atuwezeshe kuutambua uongo wa shetani ili tukwepe majaribu.

Huyu aliwahi kuweka mada ya kujifanya ana-enjoy namna we (Catholics) tunavyowafunza watoto wetu Biblia Sunday School, lkn hakuacha kupotosha, kwani kuna sehemu alitengua maandiko ya kwamba Abraham alitaka kumtoa Ishmael sadaka ilhal akijua mwana mpendwa wa Abraham aliyekuwa akizungumziwa ni Isaka. Shukrani kwake Mkuu La Biblicana kwa kumng'amua shetani ambaye wengi walishamsifia kwa mada nzuri
 
Last edited by a moderator:
Huyu Binti naona sasa anautumia ulokole wake huo kujipatia umaarufu maana hii story niliiskia mwaka jana kama August fulani hivi kwenye kipindi cha Weekend Special cha Radio WAPO mara baada ya miezi kadhaa nikamuona kwenye TV akiwa kwenye maombi kwenye kituo fulani hivi cha Nabii nani vile sikumbuki vizuri, leo kaibukia huku.....hivi kila ushuhuda ungekuwa unatungiwa kitabu tungekuwa na vitabu vingapi???

If you believe she is. To me, her eyes speaks otherwise.
 
Hizi story huwa ni za kutunga ajili ya kutumika katika ushuhuda.ni marketing strategy ya wachungaji kuvuta wateja.
Kama alinyweshwa damu ya hedhi akiwa mbinti mwishoni anataja mmewe.lini kaolewa hapo?

Nikuombe sn sn utubu kusema Marketing Strategies za wachungaji, Mungu wa Israel Mungu wa Ibrahim, I sack na Yakobo, ni Mungu wa kweli, ukimtumikia na kutii maneno yake ataonekana kwa ajili ya uponyaji wa watu wake, amini usiamini haya ni yakweli, hata kama hakusema alipofika akaolewa lkn naamini kabisa imetokea, na ujuwe hawezi weka ushuhuda na kuweka nmb ya simu bado usiamini, nakuomba amini kabisa Mungu anawaponya watu wake sawa na maneno yake siku zote.
 
dah uwongo unaoonekana ni uwongo.n' i dn't knw lengo la aliye2nga hii stori
 
Back
Top Bottom