Leo nimepatikana?

Leo nimepatikana?

uwe na amani tu, maana hata mkeo anazitumiaga ukisafiri..........

Wanaume wasofunga zipu zao hususan wawapo safarini wanaudhiiii, ila angalau atajua unatumia zana....na utamhamasisha mkeo kutafuta kidumu cha kumliwaza uwapo safarini
 
Inabidi umwambie ukweli naumuombe msamaha wa dhati. Naakikusamehe uache kabisa uzinifu. Tulia namkeo.
 
mmmhh mshikaji unalo! Mi na uhuni wote huu sijawahi fumwa nazo, we jitahidi tu mtayamaliza. Ndio ukubwa huo
 
niliwahi kumkuta nazo mpenzi wangu ila tulivyomaliza tunajua wenyewe.
Cha muhimu hapo jipange sana na km baadh hazipo yaan zishatumika ndo balaa.
 
anakoenda hawaongei kiswahili wala kingereza.

Kununua ndom hadi atoe dudu nje, afu dudu yake imejipinda kama kitasa.

Kwi kwiiiiii kwiiiiiiiii... nafwaaaaa hapa kwa kicheko Kongosho we nomaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa kwanini majority mna mfundisha jamaa kusema uongo jama???

Mleta mada we nenda kamwambie wife ukweli tu yaishe banaa.. " We mwambie uzalendo ukinishanda huwa nagegeda baamedi/wafanyakazi wa hoteli nakofikia .. But mpenzi mke wangu usiwe na hofu huwa natumia kinga kukulinda"

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani amekugombeza ama amekuulizia kuhusiana na hizo condoms,lkn hata hivo na wewe condom za nini wakati wa safari ilihali wewe ni mume wa mtu na bahati mbaya zimepungua zimebaki mbili huna ujanja leo lazima ujipange sana la sivo hakulaliki

Nishauri basi
 
Mwambie kwenye semina uliyokuwa umeenda mlipewa mafunzo ya ukimwi, so baada ya mafunzo wa kawa wanagawa hizo kondom, ndo na wewe ukazichukua kama washiriki wenzako walivyofanya. Ila kama zote zipo ful hujazitumia. Pole sana


hapo atakua kacheza kama messi vile
 
Reaction yake ilikuwaje..?? Pia utakuwa umemfundisha usaliti kuanzia leo.. Aisee nakupa pole sana unajua kwa nn?? Wherther akireact au hatorect,, wanawke huwa hawasamehi anapothibitisha doughts zake kuhusu usaliti wa mwme... Na leo amethibitisha..utamuomba radhi atasema kakusamehe bt no. Then women baada ya kuthibitisha kama ilivotokea leo lazima wa revange,, c unajua anatongozwa kila cku??amewakataa kwakuwa alikuamini... Mbaya zaidi cc tukichit mostly huwa ni kuosha rungu tu..hakunaga mapenzi,, bt wao wanahamisha upendo wote na ukibahatika kumkuta analiwa unaweza kulia, anajiachia (anajisusa) jamaa atakaepata hiyo bahati atamfanyia chchote anachotaka.. Pole sana jembeee, ila na ww jembe umeniangusha, whyyyy?? Ungenunua kulekule.. Nway saivi jaribu kuapologize tu japo nina wasiwasi haitawork daah pole ndugu lazima alipe ndo kinachoniumiza akili.... Nimechanganyikiwa utadhani me ndo mhusika.
 
Just tell her that they are not yours....and stick with that to death!
Mind you deceiving is an art!!! beware.....
 
Hio ni kama story ya kwangu vo! Juzi nilipofika Pemba kwa mke wangu kama kawaida yangu nilimkabizi mkoba wangu wa nguo zangu za nongo iliazifue... Ghafla bin vuu akanionyesha condoms zaidi ya nne na huku uso ameuchuna. Nikamwambia hee bibiye punguza jazba eeeh... Hizo nilinunua kwa lengo lakusaidia masikini... Zinaitwa condoms aka majaaliwa.. Kama unampenda utamlinda...
 
Back
Top Bottom