Recent content by mAgaziJuTO.

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata mafao yangu NSSF baada ya kufukuzwa kazi

    Nilifukuzwa kazi serikalini mwaka 2021 kutokana na utoro kazini, toka muda huo sijafuatilia stahiki zangu popote pale.kwa sasa maisha yamenipiga barabara hadi nimetia akili. Naomba kujuzwa pa kuanzia na zaidi nataka kujua madeni ninayodaiwa na taasisi za kifedha itakuwaje. Natanguliza shukrani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Inategemea na aina ya mzigo pia huwa wamekuandikia Bei na minimum quantity hivyo kazi huwa kwako tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Swali lako halijaeleweka vyema
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Kuna bidhaa nahitaji kununua katika mtandao wa Alibaba ila seller kunambia nimlipe kwa TT je ni njia salama kwa pesa yangu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bank ABC mnaudhi sana

    Matangazo yenu yanasema mnatoa mkopo ndani ya SAA 48. Fomu yangu imepitishwa na utumishi wiki ya tatu sasa sijapata pesa. Customer care mnatumia simu za mezani ambazo wengi hatuwezi kuwapigia na hata mkipigiwa hampokei. Mnafanya vibaya kwani wengine tunakopa ili kutatua matatizo ya ghafla kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unataka product huzi za nje kwa bei nafuu, nusu ya zinavyouzwa bongo

    Unauza au unagizia wanaohitaji kutoka nje ya nchi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    jamaa wa agrovets hawako vizuri sana kivitendo,nimewahusisha bila mafanikio.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    miche yangu inapukutisha matunda Mara tu yanapotoka.napiga dawa ya ukungu na ya kuuawa wadudu kula baada ya wiki tatizo haliishi.nifanye nini?Niko mbeya
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

    mshana jr nikipata admission huko bodi ya mikopo (HESLB)watanilipia?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi Mbozi tunaaibishwa

    Kuna mwalimu mwenzangu kaniita nikamdhamini achukue mkopo wa pesa kwenye kampuni inayoitwa MGOSI SHOPPING CENTRE hapa wa riba ni 40% ya kiasi unachochukua. Kilichonistua ni utaratibu wa kuacha ATM card na namba ya siri kwao, mshahara ukiingia wanatoa pesa yote, wanakata wanayodai na kinachobaki...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri fuateni nyendo za prof. Muhongo, wengi mnakurupuka

    ngoja mengi akusikie unamsifu prof...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    njo nikuuzie shamba upande miti.
Back
Top Bottom