Msaada jinsi ya kupata mafao yangu NSSF baada ya kufukuzwa kazi

mAgaziJuTO.

Senior Member
Feb 22, 2014
119
37
Nilifukuzwa kazi serikalini mwaka 2021 kutokana na utoro kazini, toka muda huo sijafuatilia stahiki zangu popote pale.kwa sasa maisha yamenipiga barabara hadi nimetia akili.

Naomba kujuzwa pa kuanzia na zaidi nataka kujua madeni ninayodaiwa na taasisi za kifedha itakuwaje.

Natanguliza shukrani
 
Pole mkuu. NSSF ni kwa ajili ya private sector, afu serikalini sijui kama ukifukuzwa unapewa mafao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom