Recent content by magamlay

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Mtasubiri sana slaa anaendeleza harakati za mapambano, jipangeni shauri yenu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe ni nani?

    Kati ya wachambuzi.wa soka ninaowakubali ni pamoja na yeye. Siasa za tz, anazijua sana , hana maneno mengi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

    Ni yeye mwenyewe na amedhibitisha.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vijana: UKAWA ni tishio la amani na usalama wetu

    Hivi mbona watu wanawehuka sana, lowassa mwenyewe hajaongea ila wengine naona watapelekwa icu, nimeamini lowassa anatakiwa kuwa rais kwa sasa. Maana yanazungumzwa mengi sana..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kweli wana Dar es salama ni tegemezi wa Mshahara kwa kiasi kikubwa!

    Nimependa sana ili somo shuluyautajiribilaada. Nimeongeza kitu kwenye mind yangu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wadada wa Uchumi Supermarket - Quality Center

    Watu wengine bhana, eti hata 200 unadai, sasa ulitaka adai sh. Ngapi? Uwezi kuwa na book bila mia mbili kuhusika.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ivona Kamuntu wa Azam Tv, acha kumuiga Salim Kikeke bwana haipendezi

    Hapo umenena, salama yuko vizuri sana, na nibonge na mtangazaji
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya Kikwete, kabla hujaondoka madarakani, wapatie Walimu stahiki zao

    Na sisi walimu tunalia njaa sana, jitaidini kutumia akili tulizopewa kuliko kuwa walalamikaji. Hata siku moja maisha yako hayatabadilishwa na serekali hata aje rais wa namna gani, bidii zako na kuwa creative basi, wengine tunadai madeni ya tangu 2011, ila nimegundua njia sahihi ni kutumia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taharuki Dar es Salaam: Abiria wajeruhiwa kwa kisu, mhusika auawa na wananchi

    Nimeiona sehemu hii habari, ila wananchi wasingemuua, maana angepelekwa polisi wangejua tatizo lake.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri Arusha au Moshi

    Mpeleke st. Margoreth, iko moshi mjini, inafanya powa sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikistuka usingizini nakuta neti (Chandarua) imechomolewa

    Kweli umepewa ushauri mwingi, ila njia pekee ya kuondokana na ilo tatizo ni maombi, omba ulinzi wa mungu, only Jina la Yesu ndo linaloogopewa na nguvu za giza. Ukitumia mbinu za kiganga ndo utaongeza mashambulizi zaidi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siri nzito zilizovuja kutoka Team Lowasa hizi hapa

    Mbona hamji na hoja nyingine mpya, harakati za wagombea wengine, imekuwa lowassa tu, wakati wako kama 38. Nimeamini lowasa ndo anatakiwa kuwa rais kwa mikakati yenu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa sitatazama ITV

    Hivi Act ndo nini??
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar es Salaam muache hii tabia, mnakera

    Kwa hiyo kazi yako nikutembelea ndugu? Maisha dar yamebana lazima uishi kwa mahesabu,..., kama huna cha muhimu sana fanya yako..
  15. M

    JamiiForums Tanzania Magaidi wawili wauawa Mbagala Kilungule

    Tofautisha kati ya kibaka na gaidi, gaidi hawezi kutaja wenzake kirahisi huivyo.
Back
Top Bottom