Magaidi wawili wauawa Mbagala Kilungule

Magaidi wawili wauawa Mbagala Kilungule

Kama wapigania dola ya kiislam wangekuwa hivyo basi wangeshamalizwa kitamboo..
 
hv sisi wa tz utunahisi kuwa yanayotokea kenya ni movie eti hee bac tusubiri yani jambazi unamwita gaidi unajua mziki wa gaidi ni shida
 
Kuna magaidi kama hawa..
 

Attachments

  • 1436200422190.jpg
    1436200422190.jpg
    78.6 KB · Views: 791
Nadhani kuna baadhi ya watanzajia watakuwa wanawashwa.
 
Tunavyoelekea uchaguzi tutasikia mengi.....alafu mie nakereka...jambazi utamwitaje gaidi?...tuwaulize jirani zetu kenya naona unahamu na hao jamaa....haya yangu masikiooo

Ugaidi sio mchezo!! Mi nashangaa matukio ya majambazi kuitwa ugaidi. Inawezekana pia ukawa mkakati fulani kwa ajili ya uchaguzi ujao. Kuwepo na sababu za kuzuia maandamano, mikutano nk
 
Tofautisha kati ya kibaka na gaidi, gaidi hawezi kutaja wenzake kirahisi huivyo.
 
Hivi unawajua magaidi kweli ww? Yaani magaidi wanamvizia askari barabarani wapore silaha kwa ajili ya ugaidi? Hawa watakua "used" magaidi.
 
Viwanda vya uongo vinazidi kuongezeka nchini Tanzania, viwanda hivi havitatupeleka popote zaidi ya kutuletea matatizo hasa ya uvunjifu wa amani tuliyonayo. Kimsingi watanzania tuwe macho na viwanda hivi; huwezi kumwita jambazi eti ni gaidi.
 
Back
Top Bottom