Wadada wa Uchumi Supermarket - Quality Center

Wadada wa Uchumi Supermarket - Quality Center

naandika haya kwa kuwa mimi ni mhanga wa hili suala,hawa wadada huwa wanakukata 200 au 300 hawasemi ukihesab salio lako unakuta limepungua ukiwauliza wanakuambia hawana change,nimefanyiwa zaidi ya mara mbili mara ya tatu nikatoa mia tatu ili nipewe 500 mdada akaniambia nisubiri,mpaka mteja mwingine aje ndipo afungue vidude vyao vile , nikae kula zangu nilivyomaliza nikaenda kukumbusha salio langu kumbe mdada kaondoka ,wale walioko zamu wakamjua mpokea pesa alietoka punde msela Mmoja akamfuata aliko akiwa na receipt yangu akarudi na 500 yangu(huku ni kule kwenye menu) wale wadada wajanjawajanja sana wengi wao.TUWE MAKINI

Eti mhanga what a douchebag
 
Ndio maana nikienda uchumi nabeba vi-coin

Sikubali kiacha 50,100 wala 200
 
Ndio maana nikienda uchumi nabeba vi-coin

Sikubali kiacha 50,100 wala 200

Kuna bar moja kila nikienda hapo 200 hawana inabidi niwaachie
siku moja nimeapa pesa imepungua 50 ...wakakataa
toka siku hiyo hata ipungue 50 naisubiri hadi wanipe

Huu wizi ni maarufu sana Dar sasa....kila mtu anajifanya 200 hana bila aibu
 
Umeona eeeh
Wewe ukipungukiwa hawakubali ila wao wanahalalisha...ni kamtindo kapya ka kujiongezea faida.

Na hizi 200 nyingi sana imagine unaziacha bar supermarket mpaka kwenye parking!!!!!

Ukizikusanya kwa mwezi unajikuta umeacha hela ya maana tu. Heri hata ununulie kilo 10 za unga na kupelekea watoto yatima.

Halafu kwa nini umwachie mtu mzima mwenye akili timamu na uwezo wa kutafuta hizi hela??????




Kuna bar moja kila nikienda hapo 200 hawana inabidi niwaachie
siku moja nimeapa pesa imepungua 50 ...wakakataa
toka siku hiyo hata ipungue 50 naisubiri hadi wanipe

Huu wizi ni maarufu sana Dar sasa....kila mtu anajifanya 200 hana bila aibu
 
Nilishajiapiza sitaacha chenji yangu popote pale hata iwe shs 50 nitaidai tena kwa nguvu bila woga,hiyo ni haki yangu lazima niipate. Wao ukipungukiwa na hiyo shs 50 kama hawajakuzalilisha una bahati sana.
 
Mtoa mada, wa pale Uchumi ya shekilango wanakulegezea macho na kubana pua eti 'sina mia mbili' mi mara nyingi nilikuwa nawauliza supermarket kubwa hivi wanashindwaje kwenda bank wakachukua sarafu za kutosha?! Siku moja niliwatolea uvivu wote pale, hadi wamenikariri wakiniona tu hata kama kwenye vile vikasha vyao hakuna sarafu wataulizana watoe hata mifukoni mwao. Ile supermarket ni ya kifisadi mno. Mbona Shopright siku hizi Nakumat pamoja na ukubwa wao hawakosi sarafu?! Mafisadi wakubwa...
 
Watu wengine bhana, eti hata 200 unadai, sasa ulitaka adai sh. Ngapi? Uwezi kuwa na book bila mia mbili kuhusika.
 
Change ni haki ya mtu. Kwani shs.200 unaweza kuiokota?. Kwani kwenye daladala ukipungukiwa shs.200 utapanda?. Tuwe kama wazungu bana kule Washington DC ukiingia maduka yao yanayoitwa Safeway hata kama change ni senti moja ya dola moja lazima urudishiwe. Tusiwe kama ndugu zangu wa Fastjet ambao hawarudishi change hata ya shs. 5,000.
 
Naandika haya kwa kuwa mimi ni mhanga wa hili suala.Hawa wadada huwa wanakukata 200 au 300 hawasemi ukihesabu salio lako unakuta limepungua ukiwauliza wanakuambia hawana change,nimefanyiwa zaidi ya mara mbili mara ya tatu nikatoa mia tatu ili nipewe 500 mdada akaniambia nisubiri,mpaka mteja mwingine aje ndipo afungue vidude vyao vile , nikae kula zangu nilivyomaliza nikaenda kukumbusha salio langu kumbe mdada kaondoka ,wale walioko zamu wakamjua mpokea pesa alietoka punde msela Mmoja akamfuata aliko akiwa na receipt yangu akarudi na 500 yangu(huku ni kule kwenye menu) wale wadada wajanjawajanja sana wengi wao.

TUWE MAKINI

Uchumi ya mwai kibaki road mbezi beach wapo poa sana... ikitokea issue kama hiyo wanachoclate zao za mia mia, wanakupa kufidishia hizo coin zilizobaki!!! Ukiwa mgumu na hapo bora utafute vibanda vya mangi tu
 
Back
Top Bottom