Recent content by Mafwele

  1. Mafwele

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa usioeleweka

    Mmmmmh, Mungu amsaidie huyo mtoto maana magonjwa siku hizi yanazuka tu, utafiti kuja kupatikana tayari ugonjwa huo unakuwa umeshaharibu wengi, Tumuombe Mungu atusaidie na Dunia hii ya Matukio
  2. Mafwele

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wana JF shule hawajaenda japo darasani wameingia

    Ni kweli kabisa kuna watu kazi yao sio kuchangia hoja upande chanya bali wao huchangia upande hasi, mfano unaweza kutoa post fulani inayohitaji ushauri au kueleweshwa wao wanaanza kukutusi na kukudharau kama vile hawafahamu nini maana ya mitandao ya kijamii, ubarikiwe mtoa mada na ushauri kwa...
  3. Mafwele

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha kuwa maisha hayana maana. 'The life has no purpose'

    Mpumbavu anasema moyoni kuwa hakuna Mungu
  4. Mafwele

    JamiiForums Tanzania Fahamu uhusiano kati ya vidole vyako na tabia yako

    Mmmmmh , ni kweli eeeee!!!
  5. Mafwele

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa umuhimu wa Computer programming

    Watu wengine Bwana, Mtu anapokuomba ushauri, toa ushauri wako wewe na sio kuanza kujadili madhaifu au mapungufu aliyonayo, kama huna ushauri si lazima uandike, acha WENYE HEKIMA watatoa ushauri
  6. Mafwele

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa umuhimu wa Computer programming

    Mimi ninasoma BSc.Ed MATHs & Computer Science, lakini sijaelewa kazi hasa ya Cs na hasa Computer programming. Ninaombeni mnieleweshe. Mungu awabariki
  7. Mafwele

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? - Special Thread

    Je, tatizo la kuvimba miguu linasababishwa na nn? Na tiba yake ni nin?
  8. Mafwele

    JamiiForums Tanzania Kipi kinakupa amani kwamba unapendwa na uliyenaye?

    Hongera Ms. Rubi
  9. Mafwele

    JamiiForums Tanzania Kipi kinakupa amani kwamba unapendwa na uliyenaye?

    Mmmmmmmmh!!!
Back
Top Bottom