Nimethibitisha kuwa maisha hayana maana. 'The life has no purpose'

Maisha hayana maana...
Ila wa maana ni wewe
Albert Einstein
Bob Marley na Mandela
wameondoka
Ila bado tunaishi katika maana zao
Kila kitu kinaanzia na wewe
Kua na maana au kukosa maana
Bado ni wewe
Nashukuru umenielewa kuwa maisha hayana maana na watengenezao maana ni wanadamu wenyewe na kiumbe kingine chochote. Nisaidie kuwaelewesha wengine
 
Hello wanajamvi, nimekuwa mfuatiliaji na mchangiaji mkubwa wa makala nyingi zinazoletwa na wanajamii forums hasa katika topics za kuhusu Mungu, uumbaji, dini na kadhalika.

Kumekuwa na michango tofauti tofauti na nadharia tofauti kuhusu maisha, Mungu, dini na kadhalika. Leo nii NIMETHIBITISHA pasina shaka kuwa 'Life has no meaning'.

How?
Tutumie mfano huu. Kwa mfano nikikuuliza kwanini unasoma jibu si unalo? Utasema kwa sababu ninaandaa maisha bora. Ntakuuliza kwanini unataka maisha bora, utasema ni kwa sababu ili niwe na amani, nitakuuliza kwanini unataka amani, hayo utatoa majibu. Mfululizo wa majibu utaendelea mpaka pale ambapo hautakuwa tena na sababu.

Hii ipo ivyo katika kila swali utakalojiuliza chini ya jua. Hivyo basi,
1) Dunia imeanza bila logical reason
2) Maisha yameanza bila maana
3) Maisha hayana maana kwa sababu tangu mwanzo yameanza bila maana
4) Kwa kuwa maisha hayana maana, basi pia Mungu hayupo kwa kuwa Mungu wa katika vitabu vya dini inaelezwa kuwa aliumba dunia na wanadamu ili wamwabudu na wakati tumeshajua kuwa dunia haina sababu na maisha hayana maana.
5) Hivyo, dini ni ulaghai, na uongo wenye nia ya kutengenezwa watumwa ili dunia itawalike.

Nawasilisha wadau.

1. Alokwambia dunia imeanza bila logical reason ni nani? tupe vitabu ulivyo refer.
2. Maisha yaloanza bila maana ni yako kwamaana ulizaliwa bahati mbaya, wazazi wako hawakuwa na mpango kabisa.
3. Kwamaana maisha yako yameanza bahati mbaya, kweli hayana maana, kunywa sumu ufe huna haja ya kushi maisha ya siyo na maana.
4. Mungu wako hana maana kabisa, wala hayupo. Sisi wakwetu alie tuumba ilitumu abudu tunamuabudu kila siku.
5. Ni kweli dini ni ulaghai kwamaana imeletwa na wanadamu, LAKINI WOKOVU WA KWELI umeletwa na MUNGU kupitia YESU KRISTO.

Ili uone thamani na kusudio la maisha, lazima uwe ndani ya YESU PEKEE. Vinginevyo hakuna sababu ya kuishi.

Mtume Paulo alisema kuishi ni KRISTO na kufa ni faida ukiwa Mkristo kweli.
 
Jibu: Usiamini kila kinachoandikwa kwenye kitabu, tumia common sense.

2. Maisha yaloanza bila maana ni yako kwamaana ulizaliwa bahati mbaya, wazazi wako hawakuwa na mpango kabisa.

Jibu: Thibitisha kuwa nilizaliwa kwa bahati mbaya

3. Kwamaana maisha yako yameanza bahati mbaya, kweli hayana maana, kunywa sumu ufe huna haja ya kushi maisha ya siyo na maana.

Jibu: Mungu wako ndo amekufundisha majibu haya?

4. Mungu wako hana maana kabisa, wala hayupo. Sisi wakwetu alie tuumba ilitumu abudu tunamuabudu kila siku.

Jibu: Thibitisha kuwa yupo

5. Ni kweli dini ni ulaghai kwamaana imeletwa na wanadamu, LAKINI WOKOVU WA KWELI umeletwa na MUNGU kupitia YESU KRISTO.

Ili uone thamani na kusudio la maisha, lazima uwe ndani ya YESU PEKEE. Vinginevyo hakuna sababu ya kuishi.

Mtume Paulo alisema kuishi ni KRISTO na kufa ni faida ukiwa Mkristo kweli.

Jibu: Muislam hakubaliani na wewe ingawa nae anaamini Mungu yupo. Umeona shida hiyo? Umeamini kuwa dini zimegawa watu zaidi kuliko zilivyowaunganisha?
 
Kule kwetu anaitwa Nguruvi, majirani zetu wanamwita Kyala, jirani wengine wanamwita Iruva, majirani wengine wanamwita Mungu wengine wakamwita Murungu wewe kwenu wanamwita Nani??
Jiulize, asingelikuwepo, hayo majina wangemwita? Basi yupo. Hakuanzishwa na Wazungu au Waarabu. Jina lingelikuwa moja tu au mawili tu, God au Allah.
Jamani chezeni na jirani unayemwona, usicheze na usiye mwona. Wajinga mna kazi kweli kweli. Hivi, ukiwa unatembea njani, ukauona waya wa umeme umeanguka chini, utauokota kwa kuuburutia nyumbani kwako wakati huoni mwisho wake wala mwanzo wake? Kwa nini? Nnani amewahi kuuona umeme kwa macho? Una rangi gani? Kwa nini tukubali upo?
It is only to yu that life has no meaning. To us; Life has a meaning and purpose. Ndo maana wengine wamefikia kuoana same sex. Kichaa kiliwaanza vivi hivi.
 
Kila kilichokubalika katika sayansi kimekuwa tested. Umeme hatuamini tu upo, bali tunajua upo. Je, kwanini tuamini kuwa Mungu yupo badala ya KUJUA kuwa yupo? Why should we believe and not KNOW? Why?
Jibu ni kuwa, huyo Mungu hayupo bali ni wa kufikirika.
 
Hello wanajamvi, nimekuwa mfuatiliaji na mchangiaji mkubwa wa makala nyingi zinazoletwa na wanajamii forums hasa katika topics za kuhusu Mungu, uumbaji, dini na kadhalika.

Kumekuwa na michango tofauti tofauti na nadharia tofauti kuhusu maisha, Mungu, dini na kadhalika. Leo nii NIMETHIBITISHA pasina shaka kuwa 'Life has no meaning'.

How?
Tutumie mfano huu. Kwa mfano nikikuuliza kwanini unasoma jibu si unalo? Utasema kwa sababu ninaandaa maisha bora. Ntakuuliza kwanini unataka maisha bora, utasema ni kwa sababu ili niwe na amani, nitakuuliza kwanini unataka amani, hayo utatoa majibu. Mfululizo wa majibu utaendelea mpaka pale ambapo hautakuwa tena na sababu.

Hii ipo ivyo katika kila swali utakalojiuliza chini ya jua. Hivyo basi,
1) Dunia imeanza bila logical reason
2) Maisha yameanza bila maana
3) Maisha hayana maana kwa sababu tangu mwanzo yameanza bila maana
4) Kwa kuwa maisha hayana maana, basi pia Mungu hayupo kwa kuwa Mungu wa katika vitabu vya dini inaelezwa kuwa aliumba dunia na wanadamu ili wamwabudu na wakati tumeshajua kuwa dunia haina sababu na maisha hayana maana.
5) Hivyo, dini ni ulaghai, na uongo wenye nia ya kutengenezwa watumwa ili dunia itawalike.

Nawasilisha wadau.
 
Hello wanajamvi, nimekuwa mfuatiliaji na mchangiaji mkubwa wa makala nyingi zinazoletwa na wanajamii forums hasa katika topics za kuhusu Mungu, uumbaji, dini na kadhalika.

Kumekuwa na michango tofauti tofauti na nadharia tofauti kuhusu maisha, Mungu, dini na kadhalika. Leo nii NIMETHIBITISHA pasina shaka kuwa 'Life has no meaning'.

How?
Tutumie mfano huu. Kwa mfano nikikuuliza kwanini unasoma jibu si unalo? Utasema kwa sababu ninaandaa maisha bora. Ntakuuliza kwanini unataka maisha bora, utasema ni kwa sababu ili niwe na amani, nitakuuliza kwanini unataka amani, hayo utatoa majibu. Mfululizo wa majibu utaendelea mpaka pale ambapo hautakuwa tena na sababu.

Hii ipo ivyo katika kila swali utakalojiuliza chini ya jua. Hivyo basi,
1) Dunia imeanza bila logical reason
2) Maisha yameanza bila maana
3) Maisha hayana maana kwa sababu tangu mwanzo yameanza bila maana
4) Kwa kuwa maisha hayana maana, basi pia Mungu hayupo kwa kuwa Mungu wa katika vitabu vya dini inaelezwa kuwa aliumba dunia na wanadamu ili wamwabudu na wakati tumeshajua kuwa dunia haina sababu na maisha hayana maana.
5) Hivyo, dini ni ulaghai, na uongo wenye nia ya kutengenezwa watumwa ili dunia itawalike.

Nawasilisha wadau.
Umejaribu vizuri,ila umekosea kwa kutumia sababu zisizo sahihi kwa kuhitimisha kuwa et hakuna mungu. Umetumia hoja za kutokuwa na maana ya maisha kama hakuna mungu ndiyo ukaja kutumia kusemea hakuna mungu.
 
Kila kilichokubalika katika sayansi kimekuwa tested. Umeme hatuamini tu upo, bali tunajua upo. Je, kwanini tuamini kuwa Mungu yupo badala ya KUJUA kuwa yupo? Why should we believe and not KNOW? Why?
Jibu ni kuwa, huyo Mungu hayupo bali ni wa kufikirika.

Mkuu,
Utakuwa tahira kufikiri kisichokuwapo. Kama hayupo usimfikiri kwani ni sawa kumfikiria mfu aliyekuwa anakupenda. Hayupo tena so I wont waste ma time thinking of someone i will never see again.
 
I know unachoongea hata we mwenyewe hukijui. Yaani hujui kama unajibu swali au unafanya nini. Pole sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom