Hii ni baada ya mh.rais kufanya ziara ya kushtukiza uwanja wa nyerere internationala airi port na kukuta madudu mengine.
Machine za scan hazifanyikazi,
Kwa siku nyingi,tangu mkurugenzi,na waliochini yake,hawajui muda ambapo machine zime cease.
Anyway!
Hivi wizara na mamlaka husika zilikuwa...
Maandiko Yalishasema Nabii Hapati Heshima Kwa Watu Wa Nyumbani Mwake.
Hiyo Ni Mosi;
Lakini Pili;Watumishi Wa Mungu Wamewekwa Na Mungu Kwa Ofisi/karama Mbalimbali Na Huduma Mbalimbali,Na Kamwe Hazifanani,
Askofu Gwajim josephat Ni Mchungaji,
Temotope Bolugan Joshia Ni Nabii,
Tofauti Ni...
Maandiko Yalishasema Nabii Hapati Heshima Kwa Watu Wa Nyumbani Mwake.
Hiyo Ni Mosi;
Lakini Pili;Watumishi Wa Mungu Wamewekwa Na Mungu Kwa Ofisi/karama Mbalimbali Na Huduma Mbalimbali,Na Kamwe Hazifanani,
Askofu Gwajim josephat Ni Mchungaji,
Temotope Bolugan Joshia Ni Nabii,
Tofauti Ni...
Hakun Shida Mtu Kupata Muda Maalumu Na Mahali Pa Utulivu Kuutafuta Uso Na Msaada Wa Mungu!
Labda Nikuulize Kuna Shida Gani Kutoa Taarifa Kwamba Mbowe Freeman Yupo Kwa Tb Joshua?
Mihemuko Ya Maswali Si Ya Kimantiki,
Ni vema Kufikiri Twice Kabla Ya Kutoa Commentts/Mrejesho.
Hukumbuki kwamba kabla Ya Kiapo Wali-sainishwa fomu Maalum,Sasa Ajieleze kwa nani,Kama Aliamua kujieleza kwa Vyombo vya habari,Basi aende uko huko akajieleze.
Nnachojua hakupenda kuwa Mkuu wa Mkoa,Alita,mani Uwaziri,Hivyo Kukacha Nafasi kama hiyo akaamua kufanya madudu!
Kwa Sail Ya Rais...
Nampa mwenyezi Mungu Sifa Na Utukufu.
Ni kipindi kifupi sana Cha Tangu aingie madarakani oktoba 2015,lakini aaah kwa kweli Kazi Aliyoifanya Ni Njema na Ya Kimapinduzi."HAPA KAZI TU."
Nimeona binafi kwa Vitendo Kwamba Kweli huyu ndiye rais Laiyepangwa kutufaa.
Ingawa mie binanfsi Sikuamini...
Kuzuia Uagizaji Sugar Kutoka Nje Ya Nchi Ni Jambo Inaloonekana Jema!Lakini.....Tungojee Bei z Bidahaa Hiyo Kupaa Kwa Kasi Isiyo Kawaida.
Main Reason/Sababu Kuu Ni Kwamba,Bado Serekali Haijajiandaa Vya Kutosha Kuzalisha Bidhaa hiyo ya kutosheleza Mahitaji Ya Nchi Nzima,Let's wait for.
Waziri anayehusuka na mambo ya Habari,ambaye pia Ni Katibu mwenezi CC Taifa,Siku za Majuzi Kautangazia Umma Wa Tanzania,Kwamba TBC Haitorusha Matangazo Ya Vikao Vya Bunge,lengo Ni Kubana Matumizi;
Hivi Kaka Nape,Na Serekali Yenu,Mmeona Kuunyonga Kijanja kijanja Uhuru Wa Kupata Habari,Ndio Kuiua...
NIMEONA WAZAZI WENGI HASA JANUARY HII 2016 WAKIHAHA HUKU NA KULE,KWA TATIZO LA WATOTO WACHANGA NA WADOGO KUPATA SHIDA YA KUTOA CHOO/HAJA KUBWA KWA SHIDA SANA TENA HUTOKA KAMA YA MBUZI,HIVI DAWA KWA HILI TATIZO WAJAMENI NINI!?
Serikali Haina Budi Kubana Biashara zote za Udalali;
=Udalali Wa Nyumba Za Kupanga,
=Udalali Wa Mazao Ya Mashamba,
=Udalali Wa Madini;
Nk.
Hapa Mamilioni Ya Kodi Yanapotea Kwa Uholela Wa Madalali Hawa Ucharwa.
KARIBU ARUSHA MH.MUKULU WA ISANGA/NCHI;
TULIALIKWA NA MH.MUKULU WA MKOA TUJITOKEZE KWA WINGI KUKUPOKEA,HILO LINGEKUWA NI SAWA,
LINGEKUWA NI SAWA KAMA UNGEKUWA UNAKUJA KUWASHUKURU WAISANGA/WAKAZI WA ARUSHA,
LAKINI,KUMBE UMEKUJA KWA SHUGHULI ZA KIJESHI TENA KAMBINI JESHINI MONDULI T.M.A/TANZANIA...
(1)Utshughulika Na Kuondoa Kinga Ya Kikatiba Na Kisheria Kwa Marais Wastaafu Ambao Wamelifikisha Taifa Lilipofika Kwa Uzemba Na Ufisadi;
(2)Mali Zote Zilizochumwa Kiharamu Na Mafisadi Na Kuzificha Nje Na Ndani Ya Nchi Zitatataifishwa/Be Nationalized Kwa Manufaa Mapana Ya Nchi Yetu.
UKITAKA...
"Hapa Kazi Tu"
Asiyefanya Kazi Afe Tu;
Wanasema Asile,Asuyekula Ni Mfu.
Aisyefaya Kazi Afe Tu!Kwani Nini?
Mh.Rais Kwa Mwanzo Huu Mzuri Uliotuonyesha,Hata Sisi Ambao Tulikuwa Upande Mwengine;Mhh,Umetukonga nyoyo,"Hapa Kazi Tu"
Tunasmea Mwenyezi Mungu Amekuongezea Majeshi Ya Malaika Walizni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.