Kuinyonga TBC Tv na Radio kutorusha live vikao vya bunge nini mkakati fichama?

MAFUNGUO KUFULI

Senior Member
Jul 28, 2015
138
39
Waziri anayehusuka na mambo ya Habari,ambaye pia Ni Katibu mwenezi CC Taifa,Siku za Majuzi Kautangazia Umma Wa Tanzania,Kwamba TBC Haitorusha Matangazo Ya Vikao Vya Bunge,lengo Ni Kubana Matumizi;
Hivi Kaka Nape,Na Serekali Yenu,Mmeona Kuunyonga Kijanja kijanja Uhuru Wa Kupata Habari,Ndio Kuiua Kiu Ya Watanzania Kutaka Mabadiliko Ya Kweli?
HOJA YA KUBANA MATUMIZI KWA KUINYOGNA TBC HAINA MASHIKO.
Hoja Fichama Hapo Na Ya Kisiasa Zaidi Hapo Ni:
Kuzuia Kwa Kidole, Usikivu wa Wananchi Juu Ya Madudu Ya Serekali Ambayo Yamekuwa Yakiibuliwa Bungeni Na Wabunge Wazalendo Kutoka Vyama Vyote:Vyombo Vya Habari Has TBC TV zamani tangu awamu ya Mwalimu Nyerere Hadi Majuzi,Vilivunja Historia na record Africa Kwa Kurusha Live Vikao Vya Bunge.
Sasa Maamuzi Yako Ee Nape,Ni Ya Kisiasa Zaidi,Na Si Ya Kizalendo,
Ya Kisiasa Zaidi Kwa Minnajili Ya Kwamba,Vyomba Vinavyoongozwa Na Kugharimiwa na Serekali Visitumuke Kama Mwanya Wa Kufunua Madhaifu Ya Serekali Tawa Machoni Pa Wananchi.
Hizi Ni Fikra Mgando,Na Zisizoona Mbali au intelectual Myopia.
Hivi kwa mfumuko wa mitandao ya kijamii na wingi wa private tvs,Utafanikiwa kwa hilo?
BASI NAKUPA USHAURI;
ILE TV YA CCM YA UHURU PAMOJA NA RADIO YAKE UHURU,ZITUMIKE KURUSHA VIPINDI VYA BUNGE MLIVYOVIHARIRI,NADHANI VITAWAJENGA NYIE CCM ZAIDI KULIKO UMMA WA WATANZANIA.
 
Back
Top Bottom