Ni nzuri Lakini...

MAFUNGUO KUFULI

Senior Member
Jul 28, 2015
138
39
Kuzuia Uagizaji Sugar Kutoka Nje Ya Nchi Ni Jambo Inaloonekana Jema!Lakini.....Tungojee Bei z Bidahaa Hiyo Kupaa Kwa Kasi Isiyo Kawaida.
Main Reason/Sababu Kuu Ni Kwamba,Bado Serekali Haijajiandaa Vya Kutosha Kuzalisha Bidhaa hiyo ya kutosheleza Mahitaji Ya Nchi Nzima,Let's wait for.
 
Wala tatizo siyo selikari haijajiandaa hapana ila ni uvivu wa kufikiri. hivi mtu aagize sukari toka Honkog na wewe uzarishe Mtibwa mbona ni vitu viwili tofauti kabisa. Huyu wa Honkong aitoe huko hadi Morogoro halafu eti wa Honkong bei ya ke iko chini na selikali inaanza kupiga marufuku hii haingii akilini kabisa. Labda tatizo liko selikarini kujaza kodi kupita kiasi ambazo hazina sababu. Ebu Rais aangalie zaidi kodi kwenye vitu muhimu badala ya kukimbilia kupiga vita sukari toka nje.
 
Back
Top Bottom