MAFUNGUO KUFULI
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 138
- 39
KARIBU ARUSHA MH.MUKULU WA ISANGA/NCHI;
TULIALIKWA NA MH.MUKULU WA MKOA TUJITOKEZE KWA WINGI KUKUPOKEA,HILO LINGEKUWA NI SAWA,
LINGEKUWA NI SAWA KAMA UNGEKUWA UNAKUJA KUWASHUKURU WAISANGA/WAKAZI WA ARUSHA,
LAKINI,KUMBE UMEKUJA KWA SHUGHULI ZA KIJESHI TENA KAMBINI JESHINI MONDULI T.M.A/TANZANIA MILITARY ACADEMY.
Sasa Wetu Mukulu wa Mkoa/Isanga La Arusha,UMESAHAU 'FALSAFA YA HAPA KAZI TU'!
Tuache Majuku,u Ya Kipato Cha Kila Siku Yaani Kwa Kipare Daily Bread,Tusimame Barabarani Kumngoja Jembe!Hapa Kazi Tu,
Je!Mh.Mukulu Wa Isanga La Arusha,/Mkoa Falsafa Hii Ya Jembe!Huoni Kama Jembe!Angekushangaa Sana Sana Kwa Wewe Kutuondoa Kwenye Majukumu Yetu Ya Kipato?
TUITIMIZE FALSAFA YA"HAPA KAZI TU" KWA VITENDO NA SI KWA KURUDI ENZI ZA UJINGA ZA UJAMBAA KUSHINDA NJIANI TUKISUBIRI VIONGOZI WAAMBATA WA SEREKALI!
'Hapa Kazi Tu'