Pongezi za dhati kwa Rais Magufuli

MAFUNGUO KUFULI

Senior Member
Jul 28, 2015
138
39
Nampa mwenyezi Mungu Sifa Na Utukufu.

Ni kipindi kifupi sana Cha Tangu aingie madarakani oktoba 2015,lakini aaah kwa kweli Kazi Aliyoifanya Ni Njema na Ya Kimapinduzi."HAPA KAZI TU."
Nimeona binafi kwa Vitendo Kwamba Kweli huyu ndiye rais Laiyepangwa kutufaa.

Ingawa mie binanfsi Sikuamini kamwe,Kama Ndani Ya CCM chama,Angeweza kutoka kiongozi safi kama Magufuli,hii ni kutokana na hali mbaya Ya ufisadi Nyngumi wakadhalika ulokuwepo ndani ya Nchi.

Hakika sasa nimeshamkubali Magufuli Na Nitazidi kumkubali kwa sababu Na dhamira ya dhati ya kuwatumikia Watanzani.

Nawapongeza Watanzania Wengi Waliomwona Magu Kuwa Anafaa,Wakashika Zamu Yao Na Kutuchagulia Mtu Huyu Mtumishi Wa Mungu,Rais Magufuli,Mungu Awabariki Sana Sana.

Mh.Dk.Rais J.P.J.Magufuli,Kwa Utendaji Wako Uliotukuka,
Mimi Nampa Mungu Baba,Naam Mwenye Enzi Yote,Sifa Zote Na Utukufu Wote,Ili Azidi kukutumia kuitakasa Nchi yetu Tanzania Na Kuyaimua Maisha Ya Wanyonge.

Maneno Ya Mungu Katika Biblia Yanasema:
"HERI AMKUMBUKAYE MNYONGE,BWANA ATAMWOKOA SIKU YA TAABU."
Nimenukuu kitoka Maandiko Matakatifu Ya Biblia Kitabu cha Zaburi 41:1(UNION VERSION/BIBLIA MAANDIKO MATAKATIFU).

Katika Jina La Yesu Kristo Mfalme Wa Wafalme.Amina.
 
Na mimi pia Naungana kumpongeza Mh Rais wa JMT,kwa jinsi anavyowajibika kwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbele huku maslahi binafisi na ya chama chake yakiwekwa kando.Kazi ya anayoifanya ya kuziba mianya ufisadi inawaudhi wengi waliozoea kuishi maisha ya deal.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom