MAFUNGUO KUFULI
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 138
- 39
NIMEONA WAZAZI WENGI HASA JANUARY HII 2016 WAKIHAHA HUKU NA KULE,KWA TATIZO LA WATOTO WACHANGA NA WADOGO KUPATA SHIDA YA KUTOA CHOO/HAJA KUBWA KWA SHIDA SANA TENA HUTOKA KAMA YA MBUZI,HIVI DAWA KWA HILI TATIZO WAJAMENI NINI!?