Ipo ikoje? Mamlaka husika kuachia uozo namna hii viwanja vya ndege?

MAFUNGUO KUFULI

Senior Member
Jul 28, 2015
138
39
Hii ni baada ya mh.rais kufanya ziara ya kushtukiza uwanja wa nyerere internationala airi port na kukuta madudu mengine.

Machine za scan hazifanyikazi,

Kwa siku nyingi,tangu mkurugenzi,na waliochini yake,hawajui muda ambapo machine zime cease.

Anyway!

Hivi wizara na mamlaka husika zilikuwa wapi?

Je!kuna ombwe la uongozi?

Au kila amlaka ipo at auto-pilot?

Tunaomba mh.rais uchunguzi wa kina ufanyike na ikigundulik kuna planned subbotage wahusika watumbuliwe.

Hapa naongelea pembe za ndovu,na madawa ya kulevya.
 
Sio bure ipo sababu, hii nchi ni shamba la babu kina mtu anavuna saizi yake, wakati wengine tunatimiza andiko kula kwa jasho
 
Back
Top Bottom