Kweli kabisa, hadi waandishi walikosa msawali ya kuuliza.Maana kwa kuwasoma tu, tayari walikua na na majibu yao ya kisiasa [emoji28]
Na Dr akawapa za Gwajiboy.
Bado nawaza kama mudi anadai kaweka 49%, akajipinda tena akampa kimbebezi babra 5% ya maji, alafu ka wifi ka babra kakaweka 10%. Ninyi wana chama na wapenzi wa thimba, Nguvu ya kumwambi mudi out, mtaitoa wapi? pale kanjibai, akianza kwenda mwendo wa glazer? [emoji16]
Kama, uliamka asubuhi ukaona, dhakari inatoa maji maji, kama kamasi [emoji16] bila kupepesa hilo ni GONO.
kama unakaa unaendelea kuwashwa washwa kwenyekichwa hapo, na maji yanaendelea kutoka kiaina. Aiseee hilo ni GONO.
KUWASHWA WASHWA BILA MPANGILIO WAKATI WA KUKOJOA. NA UNAKOJOJOA KOJOA KILA...
Jamii ya wasambaa, kabila la WAMBUGU ndio watu kutoka ethiopia huko. Ni weupe na wazuri mnoo.
Nywele zao ni maboya maboya kama warabu.
(hiyo jamii ndio aliowalenga mleta mada).
Kwa aliewahi Fanya biashara ya maziwa fresh , mtindi.
Naomba mwanga wa hii biashara, nataka nifungue maeneo ya GoBa centre (Dar) kama ni watu wapo. . shida sijafahamu Kama huko makwao wanafuga mang'ombe ikadhiri wazo langu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ndugu zangu Wana jamii, Leo naomba maoni yenu juu ya changamoto mnazo pitia katika huduma ya Chakula hasa mnpo kua katika maeneo yenu ya kazi.
Ni wapi, unatamani ungepata huduma ya chakula kitamu na chenye ladha nzuri ,nipate kukuhudumia?
Je, kuhusu bei ya chakula ungependekeza iwe katika bei...
Hiizi ndio gari nilizowahi shuhudia kuhudumu katika level za luxury Tanzania.
Kuanzia
1.wahudumu Na huduma Yao.
2.Sheria za kampuni.
3.Usalama wa abiria na Mali zao.
Sijui zilipoteaje poteaje aiseee
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.