Nsimbinso
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 407
- 431
Pamoja na a number of offenses unazoweza kusanya/tunga/zungumza, still haitaondoa ukweli kuwa he is the only church leader ambaye si mnafk wala mzandiki.... Kathibitisha hilo kwa kusimamia alichoamini ni sahihi tangu mwanzo...We huna aibu kumuita huyu tapeli "tru prophet ".
Alidai anafufua wafu hali ya kuwa mama yake mzazi kafa na yeye katoa macho tu.
Amerekodiwa anamtafuna kondoo dakika 1 bila aibu. Anaishi kwa udanganyifu na kila mtu anaona we unamuita "true prophet "!?
Kweli nchi imejaa utopolo