Recent content by madongomakavu

  1. M

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Huu ubahili wa kutokuwasha taa za nje ya nyumba wakati wa usiku mtaacha lini?

    Labda INAWEZEKANA wazinzi au vibaka wa usiku, sasa wawashe taa za nini.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupo taratibu sana kwenye utoaji wa huduma! Tubadilike

    Imekuwa kawaida kusemea nafsi zetu pale huduma zinapochelewa kutolewa, kumbuka kwa sasa watumishi wa serkali hasa wa huduma za afya ni mzigo kwao. Mfano watumishi waliopo ni 124 wakati Ikama inasomeka 350 hebu Tazama gap between kilichopo na hutaki, nurse 1 wagonjwa 20, mapokezi mhudumu 1...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuendelea kuendesha haya magari ni kutokujua mipaka yenu

    Kuna tafiti zozote kuthibitisha hizi fikra au ni mitizamo ya mifumo dume
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo barabara kuu hatarishi Tanzania

    Kona za milima ya udzungwa mikumi iringa Highway ukiyumba tu ndani ya Rio ruaha kuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zijue styles za kulala na uhusiano wake wa kiakili na maisha kwa binadamu

    Utafiti mwingine bhana, akili mu kichwa mwako
  6. M

    JamiiForums Tanzania Business News Saudi Arabia could seize $800bn in Assets in Anti-corruption crackdown

    Ukitaka watanzania waone karibu ni pale Magufuli anapotajwa, jamani magufulization ndo mpango mzima, hata kama hutaki kalale
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Miaka 6 sasa hatupo na Muammar Gaddafi!

    Sijui Nani mbaya, waliomuua na kuifanya Libya kuwa jehanamu, adui mkubwa wa afrika na dunia nzima ni mmarekani na mwingereza, ghadafi alitetea demokrasia ya kizazi kibishi cha sasa
  8. M

    JamiiForums Tanzania MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

    hiyo K ni kwacha ya Zambia au Unamainisha tsh
  9. M

    JamiiForums Tanzania Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

    Vijana wa kikosi kazi cha zamani, Gaddafi ana nafasi kubwa katika Bara la Africa pamoja na viongozi wakuu wengine kama vile, nyerere. Inkrumah, abde nasser, kaunda, haile Selassie, kamuzu banda, huyo Mandela anakwezwa na mabeberu kwa kuwa aliwahurumia makaburi ambao ni wazungu, kama kuumia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mlipuko wa bomu Wilayani Ngara waua Wanafunzi 05, zaidi ya 45 wamejeruhiwa

    RIP, ipo haja ya jamii kuwa makini na haya mavyuma yasiyoelekwa hususani watoto, inatia simanzi Sana, kila Kukicha bomu bomu bomu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atimua mbio kuonyesha yuko fiti

    wote wa Magufuli
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada kwanini mnapenda kutumia neno 'my'?

    My mai mai zikizidi wewe zishughulikie kivyakevyake
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi kufukuzwa kazi kisa wanawake walionigombania kesi imefika kwenyewe

    Angalia wasikupige shaba, hata kama ulijiamini nini Kwenda na demu hapo, uhuni wako utauona ujinga
  14. M

    JamiiForums Tanzania Miliki na jenga nyumba yako na al-balwan investment company limited kwa gharama nafuu.

    Kwani Ujenzi huo ni wa kuanzia thamani gani
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikosea kuolewa na huyu, nimekutana na perfect choice kazini

    Pamoja na uzuri wako, dunia itakupa elimu, endelea na ulofa wako
Back
Top Bottom