Nahisi kufukuzwa kazi kisa wanawake walionigombania kesi imefika kwenyewe

Wanajamii mpo salama?

Ilikuwa tarehe 12 mwezi wa tisa nikaenda mgahawa mmoja unaitwa New castle cafe hapa changi, Singapore,

Niko nimekaa zangu akaja muhudumu ni mfilipino ni demu mzuri tu, akanihudumia, kama kawaida yetu wanaume si kuchelewa ni naomba mawasilino yake akakataa lakin nikamsihi akanipa,
Baada ya wiki moja nikarudi pale kupata kinywaji tunazoeana sana sana nikaanza Kwenda daily ikafika hatua kila nikienda anajua nita kunywa bila hata kumwambia maana alinizoea

Week kadhaa baadae nikawa naumwa nikaenda zangu hospitali, nikakutana na mtoto wa brazil ndo nurse anaitwa lisa, akanihudumia vizuri tu,

Baada ya siku nikaenda tena hospitali akawa amenihudumia yeye, tukawa marafiki pia, nikachukua mawasiliano yake , tukawa tunawasiliana tukataniana
Mazoea yakakolea sana sana sana , nikaenda naye out pale pale pa siku zote, kufika tu yule dada wa pale hakunihudumia na hakutaka kuniangalia kisa nina demu mwingine,

Akachukia kweli, akamaliza muda wake wa kazi shift yake, akawahi kwangu electra street,alipajua maana nimemkanyagia hapo mara moja

Mi nikaendelea kukamua kinywaji muda wa kwenda home ukafika, nikabebana na huyu demu kwenye gari lake, nafika nakuta mtu kwenye korido, akanivuta akanisukuma, ugomvi ukaanza wakavutana nywele pigana , huyo mfanyakazi wa mgahawani akampiga kwa pochi lisa usoni akavuja ,polis hawakuchelewa wakaja wakatupeleka sote ndani kwa mahojiano, cha kushangaza kesi nimepewa mimi eti ndo nimepanga pale kwenye bed sitter hivo ndo nimeleta matatizo, jumatano naenda kureport tena polis nione nini kitatokea,

Nyie mademu nyie

Possible outcome naweza kuwa deported
Au kulipishwa faini,

Nafanyaje na nijibu nn
You deserve it negro.
 
Umeyataka mwenyewe ..we wajua kwenye huo mgahawa una mtu afu wapeleka mtu mbona huna akili za kiume ww umetuabisha wanaume wa bongo
 
Pochi ya mfilipino ilikuwa na nini? Ndani yake usiniambie hujui
 
Hahahahah we lofa sana aisewe umeikosa nyapu kifilipino na kibrazil yaani hata akili haikujiongeza ungeenda nae hotelini tu aisee huyo mcheza samba na bado nyapu ya "mfua nguo " ungeichapa kama kawa .
 
Upuuzi mwingine huu, kuna ulazima gani kupeleka mwanamke mwingine sehemu unajua ushaharibu?
Na bado unaomba ushauri
 
Uzembe wa hali ya juu umevunja kanuni ya kawaida sana ambayo inajulikan mademu unaowapitia au uliowapitia hupaswi kuwakutanisha labda itokee tu kwa bahati mbaya. Si ungempeleka kiwanja kingine? Polisi wako sahihi kosa ni lako.
 
we bwege kweli..nchi ya watu af unaleta demu pale pale mgahawani na unaenda naye geto na wa mgahawani akiwa anapajua kwako pia...unawatambia sio...pambav unakesi ya kutumia madawa ya kulevya baharti yako hawana tu kidhibiti
 
Wanajamii mpo salama?

Ilikuwa tarehe 12 mwezi wa tisa nikaenda mgahawa mmoja unaitwa New castle cafe hapa changi, Singapore,

Niko nimekaa zangu akaja muhudumu ni mfilipino ni demu mzuri tu, akanihudumia, kama kawaida yetu wanaume si kuchelewa ni naomba mawasilino yake akakataa lakin nikamsihi akanipa,
Baada ya wiki moja nikarudi pale kupata kinywaji tunazoeana sana sana nikaanza Kwenda daily ikafika hatua kila nikienda anajua nita kunywa bila hata kumwambia maana alinizoea

Week kadhaa baadae nikawa naumwa nikaenda zangu hospitali, nikakutana na mtoto wa brazil ndo nurse anaitwa lisa, akanihudumia vizuri tu,

Baada ya siku nikaenda tena hospitali akawa amenihudumia yeye, tukawa marafiki pia, nikachukua mawasiliano yake , tukawa tunawasiliana tukataniana
Mazoea yakakolea sana sana sana , nikaenda naye out pale pale pa siku zote, kufika tu yule dada wa pale hakunihudumia na hakutaka kuniangalia kisa nina demu mwingine,

Akachukia kweli, akamaliza muda wake wa kazi shift yake, akawahi kwangu electra street,alipajua maana nimemkanyagia hapo mara moja

Mi nikaendelea kukamua kinywaji muda wa kwenda home ukafika, nikabebana na huyu demu kwenye gari lake, nafika nakuta mtu kwenye korido, akanivuta akanisukuma, ugomvi ukaanza wakavutana nywele pigana , huyo mfanyakazi wa mgahawani akampiga kwa pochi lisa usoni akavuja ,polis hawakuchelewa wakaja wakatupeleka sote ndani kwa mahojiano, cha kushangaza kesi nimepewa mimi eti ndo nimepanga pale kwenye bed sitter hivo ndo nimeleta matatizo, jumatano naenda kureport tena polis nione nini kitatokea,

Nyie mademu nyie

Possible outcome naweza kuwa deported
Au kulipishwa faini,

Nafanyaje na nijibu nn
Ww ni fala.. Ni hayo tu
 
Huyu jamaa hasara tupu hiyo ticket ya ndege iliyompeleka huko bora hela yake ingetumika kutengenezea masweta ya watoto wa shule ya msingi ya kijiji alichotoka.
au kuchangia watuhumiwa faini mkuu
 
Back
Top Bottom