INCHI 22 INA USB PORT, HDMI, EARPHONE PORT, DC AND AC ELECTRICITY 210,000 DSM HAINA TATZO LOLOTE BALI NATAKA CHUKUA 32 INCHI SERIOUSLY BUYER ONLY 0787 429 104. MBEZI LUIS.
Nnao pure kienyeji kabisa hapa mbezi ya kimara wa miezi 4 na 5 wako 10 tu wana chanjo zote wote nauza 120000 bei haipungui kwako mfugaji nicheki 0787429104
Anayehitaji mtu wa kufanya kazi za uandishi wa habari au matukio au makala,mbalimbali zihusuzo siasa, jamii nipo hapa iwe ni kwenye blog au website nk.
Nicheck 0683666702
Nimevumilia ninashindwa, sasa Leo alfajiri wakati najiandaa kwenda job daah! Nikakuta kaweka kopo la chooni ndani ya ndoo ya kuhifadhia maji ya kunywa, ukimuulza hayo majibu yake khaa! Jana kalala bila kuoga kisa baridi full harufu ya majasho na naamini kwenda job kwake hajaoga maana nilimuacha...
Ninapokea oder ya maziwa kuanzia Lita 20 ni wa ng'ombe wa kienyeji nakamua mi mwenyewe hakuna maji naruhusu upime kama kuna maji napokea oda za mahotel na binafsi napatikana Kongowe .
Lakini akihitaji namletea iwe kuanzia Lita 20 nasisitiza siweki maji na ni ya ng'ombe wa kienyeji nipigie au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.