Fursa: Tuanzishe day care ya watoto Dar

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
946
771
Wasalaam

Wadau ninatafuta ushauri /mmbia wa kushirikiana tuanzishe day care maeneo ya Pugu.

Nina eneo lenye fence ya ukuta na jengo dogo. ...kuna maji umeme liko barabarani na daladala zinapita
 
Back
Top Bottom