Recent content by madimule

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aiseee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wenzangu na Mimi wa MOVIES njooni hapa tuyajenge

    Me sina hamu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanahabari 10 ambao hawana shaka juu ya taaluma yao na unafiki wa kujipendekeza

    Kuna nyaronyo kichere, me namkubali sana asee
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Mkuu unanisahau sana kwenye taglist aisee... lakini mungu anakuona The bold
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mchoraji wa picha nzuri na zenye ubora anapatikana

    Hongera kwa kazi nzuri
  6. M

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Me nnayo kwenye flash, ila flash hyo nimeiacha home me nipo safari mkoa mwingine. Kama utakuwa na subira, nikirudi ntaangalia namna ya wewe kuipata.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Thanks mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Aziz Ali wa Gerezani na Mtoni Dar es Salaam

    Endelea kutushibisha kwa historia zako murua kabisa. Mohamed Said
  9. M

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Thanks.. ukipata wasaa, endelea kunipa na nyingine.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Asante sana, usichoke kunipa zingine ukizikumbuka. Kila la heri mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mkuu me napenda sana kuangalia move za upelelezi/ujasusi au za mission mbali mbali ila sizifahamu kabisa. Unashauri niangalie zipi ambazo ntaenjoy? Msaada tafadhali..
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye maswali kuhusu wanyamapori na hifadhi zetu za tanzania uliza hapa utajibiwa

    Me sina silaha za uwindaji zaidi ya silaha ya kujihami. Hvyo nadhani ntakosa sifa za uwindaji. Je kama nikienda selous, naweza kupata kampuni ya kulipia ili waniwindie mnyama nnayemtaka (mfano swala, digidigi au pofu) ili nitumie kama kitoweo kwa kuchoma, supu etc...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye maswali kuhusu wanyamapori na hifadhi zetu za tanzania uliza hapa utajibiwa

    Me sio mjuaji sana ktk mambo ya mbuga na uhifadhi kwa ujumla. Me napenda kuona wanyama mbalimbali wakiwa hai (wakitembea au kuendelea na maisha yao) kupata history maisha yao, kula nyama pori etc... hvyo tu mkuu. Nadhani kwa maelezo yangu hayo, we kwa uzoefu wako unaweza kuona ni wapi patanifaa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye maswali kuhusu wanyamapori na hifadhi zetu za tanzania uliza hapa utajibiwa

    Ok vema. Me nahitaji kujua kutoka kwako, kuwa ni mbuga gani nzuri ya kutembelea hapa tz? Gharama zake zikoje? Na ni ipi njia rahisi ya kupata mawasiliano (Na wahusika/mamlaka) za hifadhi hzo kwaajili ya kutengeneza appointment etc..
  15. M

    JamiiForums Tanzania Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

    Me pia usiache kuni tag tafadhali.@the bold
Back
Top Bottom