Mchoraji wa picha nzuri na zenye ubora anapatikana

nra2303

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
2,749
2,000
Duu mkuu unatisha aseee,kipaji kweli unacho! Km da Vinci hongera sana
 

SUKAH

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
681
500
Hadi kipaji kimefifia mana nliacha kuchora miaka 10+,
Hongera sana mkuu, yani hadi umenihamasisha kurud kwenye fani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom