Kwa mwenye maswali kuhusu wanyamapori na hifadhi zetu za tanzania uliza hapa utajibiwa

Na kama unapenda kujua na kupata information kuhusu hifadhi zetu na wanyama wetu pia tembelea
Www.onebigrocktz.blogspot.com

Na karibisha maswali wapendwa.
Ok vema. Me nahitaji kujua kutoka kwako, kuwa ni mbuga gani nzuri ya kutembelea hapa tz? Gharama zake zikoje? Na ni ipi njia rahisi ya kupata mawasiliano (Na wahusika/mamlaka) za hifadhi hzo kwaajili ya kutengeneza appointment etc..
 
kuna national parks game reserves, game controlled areas, wildlife management ngapi Tanzania???
 
Naomba nijue.
Kwa nini ukikatiza mbuga nyingine kama Mikumi haulipi gate fees lakini ukipita njia ya Arusha- Musoma unalipia zaidi ya 15,000 kwa mageti ya Ngorongoro (Nabi) na Serengeti (Ikoma).
 
Ok vema. Me nahitaji kujua kutoka kwako, kuwa ni mbuga gani nzuri ya kutembelea hapa tz? Gharama zake zikoje? Na ni ipi njia rahisi ya kupata mawasiliano (Na wahusika/mamlaka) za hifadhi hzo kwaajili ya kutengeneza appointment etc..
Mbuga nzuri inatoka na ww unapenda kuona nini ukiniambia unapenda vivutio gani itakuwa rahisi kukujibu uende wapi...
 
Pale kwenye ukingo wa kreta ya ngorongoro, naona km pamevamiwa raia wamejenga majengo ya kudumu paa nyeupe. Na ngorongoro imekosa uhalisia wake. Vp mamlaka zimeridhia ?
 
Naomba nijue.
Kwa nini ukikatiza mbuga nyingine kama Mikumi haulipi gate fees lakini ukipita njia ya Arusha- Musoma unalipia zaidi ya 15,000 kwa mageti ya Ngorongoro (Nabi) na Serengeti (Ikoma).
Shida serekali yetu akujipanga kukusanya mapato katika mbuga mbili za mikumi na arusha national park izi ...pia kuna hifadhi kama mkomanzi ambazo ramani zake na mipaka yake bado aijawa vizur..ila mahari kama ngorongoro ni authority ambayo inajitegemea nawako strictly sana katika ukisanyaji mapato hata usimamizi wa hifadhi ile ni wahali juu ivyo kwa maeneo ambayo serekali inamikati mikubwa ya kuanza kukusanya kodi eneo la mikumi walitaka kufanya ivyo ila walishindwa ndio maana now wanamchakato wa kuchepusha barabara isipite hifadhini.
 
Mbuga nzuri inatoka na ww unapenda kuona nini ukiniambia unapenda vivutio gani itakuwa rahisi kukujibu uende wapi...
Me sio mjuaji sana ktk mambo ya mbuga na uhifadhi kwa ujumla. Me napenda kuona wanyama mbalimbali wakiwa hai (wakitembea au kuendelea na maisha yao) kupata history maisha yao, kula nyama pori etc... hvyo tu mkuu. Nadhani kwa maelezo yangu hayo, we kwa uzoefu wako unaweza kuona ni wapi patanifaa. Na kwa sababu bado nna siku za mapumziko kama siku 13 hvi, naweza kwenda kumalizia huko maana hapa nilipo, sina raha kama niliyokuwa nahiitaji.
 
Kama unapenda kwenda kuwinda na kula nyama pori ni vizuri ukaenda tembelea game reserve kama selous ndio tunaruhusu uwindaji ila kama wapenda kuona wanyama tu na kupiga picha tu ili nakushauri ukaenda ruhaaa..serengeti au ngorongoro ni sehemu nzuri sana
 
Pale kwenye ukingo wa kreta ya ngorongoro, naona km pamevamiwa raia wamejenga majengo ya kudumu paa nyeupe. Na ngorongoro imekosa uhalisia wake. Vp mamlaka zimeridhia ?
Hapana bro raia wapo vijiji sio kwenye rim ya kreta na ukiona kama kuna vibati ujue zile ni ranger post au campsite ambazo zinasimawiwa na mamlaka ila kuna nyumba zpo mbali na kreta before ujafika kwenye rim kabisa na ndio maana tunahiita man and biosphere hawawezi kuzuia kabisa itapoteza sifa sema watapunguza population isiwe kubwa
 
Kuna mbuga gani inayofanya utalii wa kutembea kwa miguu(sio ndani ya gari). Zaid ya Arusha National Park?(nilishatembea hapa)
 
Unaweza ukaenda lake manyara ukafanya canopy ...ila pia kitulo iko salama kabisa kufanya matembezi ya miguuu..
 
Back
Top Bottom