Recent content by MadameX

  1. MadameX

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mafuta ya kufanya uwe soft

    Kwanza aache kutumbutumbua hayo machunusi ndio zinazoweka alama, itatutumbuka zenyewe zikiiva. Pili aangalie vyakula kama jamii ya karanga, mayai etc yanazidi chunusi, hormone imbalance. la mwisho atumie sabuni asili kama Dudu Osan, Papaya soap zipo za aina nyingi mno.
  2. MadameX

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mshauri wa familia kampa mimba mke wangu

    Si ndoa ilishavunjwa na padri ya huyo mwenye pumu na mkewe...kwasasa si mkewe. Msongo wa nini awaache watu watese maisha
  3. MadameX

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnifundishe jinsi ya kutengeneza mishkaki mitamu na laini

    Unaweza tia paste ya tamarind au yoghort, chumvi, kitunguu saumu, tangawizi na pilipli manga. Aiche kwa muda wa lisaa.
  4. MadameX

    JamiiForums Tanzania Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

    Duuh Tanzania yangu:(
  5. MadameX

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisadieni ndoa yangu inavunjika

    Ndio maana daima naomba mwanaume asifanikiwe sana kimaisha, maana kama zereu zinazidi kama hizi. Unasema unampenda sasa kitu gani kilizidi uongeze mwengine........
  6. MadameX

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I'm too lazy to be a housewife

    Kazi za nyumbani noma aisee.....zinachoshaaaaa
  7. MadameX

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui kwanini namchukia binamu yangu

    Achana na hizo.....kama umemeshiba mwambie kuwa aachane na kutuma mipicha yake, you really don't care about her private life. Plus umpe ukweli kuwa unashawishi wenzake vibaya. Kama huwezi toka kwenye group ....
  8. MadameX

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haka katabia ka dada zetu sijakapenda, 'nipe ujauzito nitalea mwenyewe'

    Huyo atakuwa amekaa benchi sana bila ya mtu, pili time clicking yaani anaona uzee unakaribia na hakuna dalili ya mtoto. Wapo wanaofanya hivyo hata kama mambo yao super. Kitu ninachoweza kusema huyo mwanamke sio smart watu wanafanya hii kitu in desperation ya kupata mtoto kabla ya uzee. na...
  9. MadameX

    JamiiForums Tanzania Paco Decor amefariki

    Kafia bongo alikuwa mgonjwa na wanazika leo saa 10 sasa hayo ya thailand mbona mapya. Ila hakijulikani kilichomuua maana alikuwa yupo ICU
  10. MadameX

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenye jina hili mwenyezi Mungu kawapendelea?

    Mimi nataka niitwe Janet niwe First Lady
  11. MadameX

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wa Bongo Movie kamwe hawawezi kutoka na matajiri wa Tanzania?

    Wengi wanandoa zao au wana watu wao permanent. Hawataki dramas za kwenye social media plus wengi wa Bongo Movie hawa classy
  12. MadameX

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanga Sirudi Tena...

    Tanga kuna Forodhani toka lini au umaarufu wa urojo.....
  13. MadameX

    JamiiForums Tanzania Shilole hajui Kiingereza hata kidogo

    mwalimu wa kiswahili au historia nafikiri ahahaha
  14. MadameX

    JamiiForums Tanzania Shilole hajui Kiingereza hata kidogo

    Kwani akijue yeye mzungu.......ikiwa Salma kikwete alikuwa na mkalimani kwanini yeye iwe shida
Back
Top Bottom