Sijui kwanini namchukia binamu yangu

Sijui kwanini namchukia binamu yangu

Hivi kuna swimming pool kubwa ya kununua,tofauti na zile ndogo za kujaza upepo kija unajaza maji
NDIO HIZO LAKINI SISI WA VIPATO VYA CHINI ANATUKIMBIZA BALAA ,
 
Shukuru sana kwenye familia yenu akiwepo mtu mwenye kauwezo kidogo kwani anatoa hata nuksi ya umaskini na atakuwa kama mlango wa ninyi wengine kufanikiwa hata bila kupitia yeye...So muombee azidi kufanikiwa na ufate mambo yako tu badala ya kumchukia..
 
Shukuru sana kwenye familia yenu akiwepo mtu mwenye kauwezo kidogo kwani anatoa hata nuksi ya umaskini na atakuwa kama mlango wa ninyi wengine kufanikiwa hata bila kupitia yeye...So muombee azidi kufanikiwa na ufate mambo yako tu badala ya kumchukia..
NALIFANYIA KAZI HILI KWANI HATUKO SAWA
 
AHSANTE LAKINI WAKUBWA WATANISHANGAA NA KUNIULIZA KULIKONI ,OK NGOJA NIJITOE TU
Mkuu usiogope, kuna namna ya kujitoa kwenye group la Whats app bila wenzio kujua ili usiwakwaze...
 
Take advantage kwa hayo afanyayo yaan badili mtazamo wako juu ya hizo post zake zitumie katika kukumotivate na kukupa nguvu/hasira za kupambana zaidi ili siku moja nawe ukavipate kama hvyo alivynavyo, tambua kuwa kukimbia sio solution ya tatzo, haitakusaidia sana kujitoa kwa group,
 
kwani mtu ukimuona maana yake si umeruhusu mwenyewe kumuona
 
HI,
HABARI ZENU,NINA MDOGO WANGU(BINAMU) namchukia toka kipindi ambacho nipo ndani ya ndoa sababu ni hivi,
Nilioa mke, na yeye(dada yangu) aliolewa na mtu tajiri na kila mara akawa anamtambia mke wangu ,na mawifi wengine kwenye vitu mbali mbali vya kununua nunua (simu,kubadili gari,swiming pool ya kununua, na mambo kedekede kila kukicha) mke wangu akawa ananiendesha ile mbaya kwamba mimi simpendi /sijui ku care,mara hv mara vile mwishowe demand ya vitu na vijimigorogoro vikawa vingi na mimi sijaishi kwenye maisha ya kutatua /kusuruhisha/kushtakiwa /kulaumiwa/au kulaumu/kusingiziwa mabaya/au kutenda mabaya katika ujana wangu wote tuliachana na mke wangu,
shida nliyonayo yule dada angu kila leo anapost vitu vizuri vizuri kwenye group moja la whatsaap la familia na mimi nakumbuka vile vijigogoro vilivyopita na aliyekuwa mke wangu. sasa sijui yangu ya kumchukia kwa tabia yake hii mimi itaniisha lini maana dogo anakimbiza mpaka mawifi zake wengi kinawauma.
Tatizo lilikuwa kwa mkeo hakutaka muishi maisha yenu bali ya wengine...mshukuru Mungu ndoa ilivunjika uliepushiwa mengi..angeweza kufanya vitu vya kudhalilisha ndoa almradi tu apate anachotaka
Kuhusu huyo binamu yako huna hata haja ya kumchukia hiyo ni haiba yake naye atabaki ndugu yako kwa hali yoyote ile
 
Zezeta limetoka kwenye life yako,unakuja kujilizaliza hapa? Sasa cousin wako angenunuliwa Gulfstream kipindi ukiwa na mkeo, mkeo akaidai,ukashindwa,akakuacha,pia bado ungemlaumu huyo cousin wako? Ila na wewe una tatizo,huna la kufanya zaidi ya kufuatilia upuuzi wa whatssapp ya familia/ukoo?
 
Usijali ndugu, siku na wewe ukiwa tajiri chuki zitayeyuka.
 
Achana na hizo.....kama umemeshiba mwambie kuwa aachane na kutuma mipicha yake, you really don't care about her private life. Plus umpe ukweli kuwa unashawishi wenzake vibaya.

Kama huwezi toka kwenye group ....
 
Duuh sazingne naona matatzo tunajtengenezea wenyewe. Na huyo mke wako nae ana tamaa.
Pole sana mkuu.
 
Back
Top Bottom