Recent content by madameA

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Number One need of a Male is Sex, what about a female need?

    Money first.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimya wake unaniumiza

    Ukifika mwaka wa 4 halafu hakuna malengo ya pamoja uta surrender mwenyewe wala roho haitakuuma. Nakushauri tafuta mnayeshabihiana malengo. Kama ana malengo yake ambayo wewe hayakuhusu maana haupo kwenye mipango yake. Usiegemee kuti kavu hilo wakati wowote linakatika. Fanya yako hakuna kitu hapo.
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maradhi yanayo utesa moyo wangu, ni wakati muafaka wa kutafuta tiba

    Mkuu ungeweka wasifu wako ili vigezo na masharti vizingatiwe.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

    Ndoa zipo tena ni jambo jema, matatizo kwenye ndoa yalikuwepo yapo na yataendelea kuwepo hayakwepeki, single ladies/man wapo na wataendelea kuwepo. Kupanga ni kuchagua rafiki.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

    Duu! mbona kama una hasira. Umeleta mwenyewe matatizo yako jamvini. Ulitakaje nikusifie. sorry oooooooh chineke.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni nini umuhimu wa mwanamke muolewa kuchukua ubini wa mumewe?

    Hakuna umuhimu, usiumize kichwa.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti yako akipata ujauzito nyumbani utafanyaje?

    Mwambieni muda wa yeye kwenda kwa baba mtoto wake umefika. Hapo kwa sababu anakula anashiba anachukulia poa. Kama hataki kumtambulisha baba wa mtoto, Mfungasheni ndio atatia akili.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

    Replies Kuna kituo Kigamboni kinasaifia watu wanaotaka kuachana na drugs plus pombe. Chukua likizo ili uweze kilitatua tatizo hili. Frunky speaking sipendi mwanaume mlevi.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuwasiliana baada ya kuachana?

    Iwe umeniacha au nimekuacha, I am sorry sirudii matapishi. Tunawasiliana ili iweje. Watu ni walewale kuna jipya gani limezuka mpaka gafla umekuwa mwema na anataka muwasiliane? Labda kama bado mnatakana.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ukweli wanawake tegemezi wanaume tunawachukia

    Hili halikwepeki. Hata ukila mzigo mara ngapi haijalishi kama kukimbia wewe nenda. Yupo atakae hudumia bila kelele maana anajua nafasi yake kama mwanaume. Mwanaume ni majukumu sio kuuza sura.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume amkeni acheni kulalama

    Huyo mwanaume atakaye kaa anapigia bajeti hela yangu atakuwa amechemsha. Ajiandae kulala na njaa. Hakuna msaafu wala bibilia inayosema mwanamke atamlea mwanaume. Ujumbe umefika, nafikiri kila mmoja ataanza kujitathimini. Na wanawake muache kubeba majukumu yasiyokuwa yenu. Mungu aligawa...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta, msaada tafadhali

    Wakati mwingine sio kwamba binti akikupa K maana yake ame-fall. Inawezekana kabisa tamaa za mwili zikamsukuma kufanya hivyo lakini moyoni mwake haupo kabisa. Ni bora alivyokwambia ukweli ambao wengi hamuupendi.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Over 30 wanauzoefu na mahusiano jamani

    Makubwa. Siamini kama kibao kimegeuka. Ilikuwa ni kuwaponda tuuu wadada ambao umri wao ni 30+. Kumbe ilikuwa ni sitaki nataka.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani wanaume wasomi mna nini?

    Waliosoma sana kwenye mahusiano ni zero. Halafu mara nyingi wanaamini wewe ndio unatakiwa kujikomba kwao. Yaani kuwa na wewe ni kama amekupa msaada. Ni sheeeeda hao watu.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wakinadada hii ni kama asili yenu?

    Nikhil Sasa kama hela ya voucher tu mapovu yanakutoka. Majukumu ya familia utayaweza kweli?
Back
Top Bottom