unampenda asie kupenda.....................achana nae usijipe pressure
Vuta subira wewe.....kwani hujui kuwa subira inavuta kheri....
wallah achana nae hawa viumbe wenye mkia mbele ni vichomi tu!!
Habarini za asubuhi wana Jamiiforums
Nombeni ushauri wenu, nina mpenzi . Jana nikauliza naomba kujua msimamo wako juu ya mahusiano yetu. Akajibu binafsi nina malengo na ndoto zangu kama unaona nakuchelewesha nakuruhusu nenda kwa mwingine atayekuoa haraka.
Sikumiibu chcochote na mawasiliano yakaishia pale. Kila mmoja yupo kimya, ukweli mimi naumia maana ninampenda,
sasa wadau nishaurini nianze tu mimi kumtafuta? Au niendelee kukaa kimya au nifanyeje?
Ushauri tafadhali- mahusiano yetu yana mwaka sasa.