Recent content by madam semah

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kusema lakini wa kumwambia simpati

    Usikate tamaaa kabisa yupo tu aliyeumbwa kwa ajili yako jipe moyo mkuu wanaume mmeumbwa ili upambane na maisha kumbuka utakula kwa jasho hayo ni changamoto ktk maisha jichanganye ktk jamii utafanikiwa tu pia muombe sana mungu wako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kweli nimuache aoe wakati mimi nahangaika na kiumbe chake?

    Mmm!jf ina mambo nimejikuta nacheka tu ukifanikiwa tuletee mrejesho
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ameniweka wazi nia ilikuwa mtoto sio ndoa

    Kaka kuwa makini ktk huo ugomvi unapowashauri kuna msemo usemao "wapendanao wakigombana chukua jembe ukalime siku wakipatana chukua kikapu ukavune" nilishawah kusuluhsha ugomvi wa rafiki yangu mmoja walipopatana .nikageuziwa kibao. Huyo dada aliingia kwenye ndoa alikuwa hajajipanga.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Majirani walivyonikosanisha na mpenzi wangu

    Habari wadau MMU! Maisha siku zote yana changamoto zake na siku zote lazima upite katika majaribu. Nakumbuka nilishawahi kuomba ushauri kuhusu majirani walivyonikosanisha katika mahusiano na mwenzangu. Nashukuru wote walionishauri, ushauri wenu niliufanyia kazi na kufanya uchunguzi nilijaribu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nampa kila anachostahili mke wangu lakini sina amani na ndoa yangu

    Jaribu kukaa naye siku ambayo hakuna ugomvi umuulize tatizo ni nini ikishindikana tumia rafiki zake wa karibu ili kubaini tatizo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta

    Da nimeishia kucheka tu jf inaburudani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Lukuvi na Magufuli umeanza lini?

    Da imebidi nicheke tu hizo coment jamaa anataka akumbukwe kwenye ufalme
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mawazo yananitesa, kuweni makini na maneno maneno ya kusikia mitaani

    Wapendwa, Nilikuwa na mchumba wangu ambae tumezaa naye mtoto mmoja, tumehitilafiana hataki kuniona wala kumuona mtoto. Nimejitahdi sana niweze kuonana naye ili tuyazungumze, lakini hataki na amenikataza kukanyaga nyumbani kwake chanzo ni mume wa mpangaji mmoja alimpigia simu pindi yupo safari...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Unaikumbuka sababu ya kuachana na mpenzi wako?

    Da unanikubusha machungu ambayo nimeyapata hivi karibuni mpaka sasa sijasahau kweli huwa inauma sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Looking for a lady friend in Mwanza

    Mmm tuipende lugha yetu ya kiswahili.too much explanation
  11. M

    JamiiForums Tanzania Looking for a lady friend in Mwanza

    Mmm tuipende lugha yetu ya kiswahili.too much explanation
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutegua Mume toka mapenzi ya kichawi (Limbwata)

    cha msingi hapo ni kuwa na imani halafu wale waliowapa siri muwafate muongee nao vizur wawaonyeshe huyo mganga aliyefanya hivyo nanyi mkamkomboe kwa huyohuyo mganga maana waganga huwa vigeugeu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu anamnajisi mwanangu wa miezi mitatu

    dunia imefika mwisho baba haoni thaman ya mtoto wake!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mke anatakiwa

    weusi fursa imewapita
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hodi ndani

    jamani me mgeni wenu naomba mnipokee humu ndani
Back
Top Bottom