Freddy.Freddy
Senior Member
- May 29, 2015
- 105
- 44
- Thread starter
- #21
uhahaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
Why the laughter sister? Ama umefurahia nini u share with us?
uhahaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
yaani icho kingereza akisoma mwingereza hawezi kuelewa hata kidogo. tumeelewa sisi tunaoungaunga
Nenda makoroboi mkuu utawaoga mbona
Why the laughter sister? Ama umefurahia nini u share with us?
Kwetu watz mtu mwenye kupenda kukitumia kiingereza hata kwa mambo lahisi kama haya tunamwona ni "mshamba" au "limbukeni". Lugha yetu adhimu ya the ni utambulisho wetu nasi twajisikia fahari kujinasibisha nayo.Hapana, wote tu wanaweza kunitafta, wawe wanaelewa au kutoelewa Kingereza na Kiswahili its just OK.
Kwetu watz mtu mwenye kupenda kukitumia kiingereza hata kwa mambo lahisi kama haya tunamwona ni "mshamba" au "limbukeni". Lugha yetu adhimu ya the ni utambulisho wetu nasi twajisikia fahari kujinasibisha nayo.
kiras simba....
Tunapowasirisha jambo Nia na lengo ni kuona ujumbe unawafikia watu wengi kadri iwezekanavyo. Ili lengo hilo litimie ni vyema kuepuka au kuondoa "barrier of communication". Na hili hutimia kwa kutumia lugha inayotambulika na wengi. "When you're in Rome do as romern do". Ndio maana nikasema kutumia lugha ya kiingereza ni "ushamba".Ahsante kwa kunijuza lakini kumbuka kila mtu ako na uhuru wa kujieleza, yaani freedom of expression kwa njia ambayo ataeleweka zaidi. Na ndio maana ukisoma hizi threads zote za Jamii Forum, sio zote ni za Kiswahili, kunazo threads nyingi mno za Kiingereza pia kumaanisha kwamba huo sio ushamba. ushamba ninavyoelewa ni kutokuwa civilized, yaani maisha ya kijijini with no exposure. Sijui sasa jinsi Kiingereza na ushamba zinavyoendana
I am 3 months old in Mwanza. I am 26 years old working in Mwanza and i would like to meet a lady friend of any tribe, age and build. Am finding it quite lonely going to work and going back to the house after work. Am 26, dark and of average height and build. I am not a drinker, though i go out once in a while. Since i am dark, i would prefer a light-skinned lady, though i hate women who have bleached their skin. You could be working or in college, that does not matter much since am only interested in friendship.
If you fit the description, kindly send me an email on mdswissholdings@gmail.com
Wewe Rubii, sikuelewi hata kidogo!
Me mmarekani sijakuelewa una umri wa miaka 3 mwanza, pia una miaka 26, lugha yangu ikikushinda tumia yakwako.
nikupeleke twisheni???
Tunapowasirisha jambo Nia na lengo ni kuona ujumbe unawafikia watu wengi kadri iwezekanavyo. Ili lengo hilo litimie ni vyema kuepuka au kuondoa "barrier of communication". Na hili hutimia kwa kutumia lugha inayotambulika na wengi. "When you're in Rome do as romern do". Ndio maana nikasema kutumia lugha ya kiingereza ni "ushamba".
haha apo unamumbua mwenzako tu ia kwa maneno aliyoyatumia mbona yuko kinaga tu?Me mmarekani sijakuelewa una umri wa miaka 3 mwanza, pia una miaka 26, lugha yangu ikikushinda tumia yakwako.
haha apo unamumbua mwenzako tu ia kwa maneno aliyoyatumia mbona yuko kinaga tu?
ameishi mwanza miezi mitatu ila ana umri wa miaka 26 mkuu.
Mmm tuipende lugha yetu ya kiswahili.too much explanation